Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

Dr. John Pombe Magufuli ni kama Dr. Nkwame Nkurumah kiutendaji.... Wewe unasemaje?
....
Lets have an open converstion my fellow Africans.
Jipubishi
Unajua nini kilimpata Nkurumah? Unajua nini kilimpata Sankara? Unajua nini kilimpata Gaddafi?

Kama mkulu ni kama hao, tuendelee kumwombea kweli.
 
Mkui Jipu-bishi,ulichoandika kinafikirisha sana lakini kinaweza kukuletea matatizo japokuwa pia kina ukweli kwenye baadhi ya mambo.
Lakini pia ufananishaji wako katika aspect ya utendaji una walakini. Mmoja alitumikia Ghana muda mrefu kwenye ngazi ya juu kabisa na mwingine ndio kwanza hajamaliza hata mwaka,yule amemaliza uongozi wake na hakujirekebisha,huyu anaweza kurudi kwenye mstari na mambo yakawa mazuri.
Swali ambalo ulitakiwa kumaliza nalo ni je,mwisho wa huyu kiutendaji utakuwa kama wa yule.
Time will tell
 
Kuna harufu ya similarities ingawa katika yote Mh John habebi hazina ya ndani na kuigawa kwa marafiki.

Tabia kwa mujibu wa wataalam wa afya ya akili hutawaliwa sana na makuzi, nashauri kabla ya kumhukumu mtu tufanye kajiutafiti kadogo ka makuzi yake. Isije ikawa tunajaribu kumkosoa mtu ambaye kwa anayoyafanya ndio kajitahidi mpaka mwisho kuwa mwema.

Niliwahi kusema sisi waafrika weusi tunashida ya kushindwa kuwa na akili au mbinu za tufanyeje ili tufikie lengo kwa ufanisi (technical of know how), ni kweli unania njema na unajitahidi sana kupambana ila mwisho unafail why?

Aina ya mipango tuliyoiwekea misuri ni ya zimamoto sio endelevu , mwisho hutukwamisha hata sisi wenyewe rejea sheria zetu na matamko ya viongozi.

Pia tunashida ya ku lose focus on the targets we planned, pili tunakwamishana sana sijui ni ubinafsi sielewi sio ajabu tunashindwa kutekeleza tulichokubaliana kwa ajili ya maslahi binafsi. Tunajua sana kuzira hata kwa maswala muhimu na hatujali athari za baadae

Wengi hatuna busara, hili si jambo la kujifunza ila ni jambo la kipaji na majaliwa ya Mungu, angalia maamuzi ya viongozi wa mihimili mfano Bunge na wabunge wenyewe... unapokosa busara huwezi kumthamini yeyote kwa jambo lolote isipokuwa yule tu anaekuunga mkono kwa lolote baya au zuri unapokosa busara lazima utakuwa mbinafsi.

Mh John anachangamoto nyingi kutoka kila mahali na kunawakati anachanganyikiwa kutokana na tabia zetu watu weusi na yeye akiwemo.

Tunahitaji uwajibikaji, nidhamu, ubunifu, kujifunza, kuwa na utayali wa kukosolewa na kurekebisha na pia integrate na wasikivu kabla ya kufanya maamuzi. Haya ni kama mambo mengi lakini kiuhalisia yote huenda sambamba.
 
Watu wanaogopa kuko ment topic yako maana sasa hvi jela nje nje, na mimi sikoment ng'oo, tena ngoja mimi nikalale kabisa, Sina milioni 4 za faini.
Ni milioni saba usipunguze, na hiyo Mwakiwembe aliombwa mwongozo na kusema haitoi funzo.
 
Kuna harufu ya similarities ingawa katika yote Mh John habebi hazina ya ndani na kuigawa kwa marafiki.

Tabia kwa mujibu wa wataalam wa afya ya akili hutawaliwa sana na makuzi, nashauri kabla ya kumhukumu mtu tufanye kajiutafiti kadogo ka makuzi yake. Isije ikawa tunajaribu kumkosoa mtu ambaye kwa anayoyafanya ndio kajitahidi mpaka mwisho kuwa mwema.

Niliwahi kusema sisi waafrika weusi tunashida ya kushindwa kuwa na akili au mbinu za tufanyeje ili tufikie lengo kwa ufanisi (technical of know how), ni kweli unania njema na unajitahidi sana kupambana ila mwisho unafail why?

Aina ya mipango tuliyoiwekea misuri ni ya zimamoto sio endelevu , mwisho hutukwamisha hata sisi wenyewe rejea sheria zetu na matamko ya viongozi.

Pia tunashida ya ku lose focus on the targets we planned, pili tunakwamishana sana sijui ni ubinafsi sielewi sio ajabu tunashindwa kutekeleza tulichokubaliana kwa ajili ya maslahi binafsi. Tunajua sana kuzira hata kwa maswala muhimu na hatujali athari za baadae

Wengi hatuna busara, hili si jambo la kujifunza ila ni jambo la kipaji na majaliwa ya Mungu, angalia maamuzi ya viongozi wa mihimili mfano Bunge na wabunge wenyewe... unapokosa busara huwezi kumthamini yeyote kwa jambo lolote isipokuwa yule tu anaekuunga mkono kwa lolote baya au zuri unapokosa busara lazima utakuwa mbinafsi.

Mh John anachangamoto nyingi kutoka kila mahali na kunawakati anachanganyikiwa kutokana na tabia zetu watu weusi na yeye akiwemo.

Tunahitaji uwajibikaji, nidhamu, ubunifu, kujifunza, kuwa na utayali wa kukosolewa na kurekebisha na pia integrate na wasikivu kabla ya kufanya maamuzi. Haya ni kama mambo mengi lakini kiuhalisia yote huenda sambamba.

Akazuba
Je huku kukosa busara, ubabe ni kutokana na nini! Ni kweli kuwa Waafrika hatupendi kufuata sheria mpaka tuone mmoja wetu ameumia ndo tutii sheria? Au ni kuwa Viongozi wasomi wanaona wamekamilika hawahitaji ushauri kutoka kwa watu wa chini.
Ukweli ni kuwa hakuna aliyewahi kufa akarudi akatupatia marejesho sawa sawa na Urais aliyeingia anakwenda kimoja hawajarudi mitaani kutusimulia Urais ukoje huko Ikulu.
 
Kitu ambacho nikegundua historia ya mashuleni Tanzania, haikusema Dr. Nkurumah aliishiaje kwenye Uongozi wake, hawa watu ni watu wanaoheshimika sana Tanzania kwa mujibu wa Vitabu vyetu vya History, lakini ukweli ni kwamba heshima tunayompa Dr. Nkurumah ni kubwa kuliko anayopewa na ndugu zake Waghana, kwasababu mwishoni aliharibu na aliharibu haswaaa. Lakini hakuna sehemu ya historia hii kwenye Vitabu vya Tanzania. Ndio maana ninapotaka kumlinganisha na Mhe. Dr. JPM watu wengine hawanielewi kabisa. Tunaendelea
 
Mleta mada acha kabisa kumtabiria rais wetu mambo ya hovyo kisa Chadema wamekosa ajenda kwa sasa. Rais Magufuli bado hujakaza Uzi vilivyo. Anza nao J23 iwe fundisho na hakuna atakayeleta fyoko fyoko tena.
 
Unajua nini kilimpata Nkurumah? Unajua nini kilimpata Sankara? Unajua nini kilimpata Gaddafi?

Kama mkulu ni kama hao, tuendelee kumwombea kweli.

Ebwanae! Rais wetu anahitaji maombi ya hali ya Juu, ukisoma historia ya Dr. Nkwame Amah Nkuruma na Thomas Isidore Noel Sankara utagundua kuongoza waafrika ni ngumu sana. Sankara ndio Magufuli kila kitu lakini huko mzee ukitaka kwenda mimi sina M7 kwahiyo turudi huku kwa Nkurumah kuna nafuu
 
Mleta mada acha kabisa kumtabiria rais wetu mambo ya hovyo kisa Chadema wamekosa ajenda kwa sasa. Rais Magufuli bado hujakaza Uzi vilivyo. Anza nao J23 iwe fundisho na hakuna atakayeleta fyoko fyoko tena.

Hapana,
Wewe umeenda kusiko kabisa bora ungebaki kimya kama jirani yako hapo.
Huu ni Uchambuzi sio utabiri. Tunatumia Historia kuturudisha kwenye mstari tunapokuwa nje ya mstari, na pia tunatumia historia kuepusha visivyo hitajika. Rudi kwenye mstari najua ni ngumu ndo umetoka kwenye futari.... Tujadili topic hayo mengine tuyaache kama yalivyo..
 
Tuendelee kumuombea huenda akabadilika kabla hayajamfika yaliyowafika hao wengine. Anatuomba sana tumuombee pengine anajua ana tatizo fulani.
 
Uko sawa kabisa Rais anahitaji maombi, ila lengo langu lilikuwa kutaka kuangalia utendaji wa
 
Back
Top Bottom