Taus Mohamed
Member
- May 19, 2022
- 44
- 54
Kapicha mkuu, kusindikiza ujumbe huu hahahaaa......
Ualimu ni laanaaUalimu ni faraja watu wapita kwenda kuwa doctor ruban nk ukubwaa jalala mtupaji ajui shida aipatayo jalala kwa kumtupia takataka vinyesi nk aktukanae akuchagulii tusii uwezi kuvaa sitie kabla ya nepi Walimu heshima yenu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]sotee tumepita kwenye mikono yenuuu na malezi yenuuu sema heshima yenu imepoteaaa na walimuu wa kujitolea mane boa kwani mnaionyesha serikali jinzi gani mko wengi mpaka mnajitolea ndy maana mnazalaulika hamnaga misimamo kijana mtanashati kachomekea eti anajitolea kwa hamsini elfu walimu wenzio wakuchangiedd una akili kweli[emoji34][emoji35][emoji35][emoji34][emoji35] elimu imekukomboa au imekudidimizaaaa
Uwe nae mguu Kwa mguu mpaka ATM vinginevyo humpati, hawa watu wanashida mpaka matakonikuna mmoja nilimkopesha ngoja nione kama atanilipa changu
We nani aliyekufundisga kusoma na kuandika??Ualimu ni laanaa
Weka Akiba ya maneno,Ualimu ni laanaa
Aya jomba karudi Tena, walimu mjipangeMuyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila mda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu sasa nenda saizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta
Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaungulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya
Walimu tafuteni chanzo cha kipato mshahara huwa hautoshi maisha mliyonayo niyakimbuzi sana yaani
Alafu wewe fala utakua mwalimu maana unawafuatilia snMuyangu kama una kiasi kidogo cha pesa ukitaka kusubiri kesho utatoa ATM please toa saizi tena shukuru Mungu nimekusanua uzuri Leo walimu wametoka kapa walikuwa wanaingia ATM kila mda kuuliza salio Bank inawaambia insufficient balance lakini bado jioni hii tena wanaingia kuuliza ATM inawaambia waache usumbufu sasa nenda saizi ukatoe pesa yako uepuke kesho foleni ya walimu ukienda kesho utajuta
Hawa watu hawatakagi kwenda Kwa NMB wakala Wala kutumia NMB mkononi wanakwepa makato ya buku tatu tu, saizi wanahaha wanapwipwitwa wanaona siku haisogei Jana na Leo ni ngumu kumeza wanaungulia maumivu ya Moto tumboni kimya kimya
Walimu tafuteni chanzo cha kipato mshahara huwa hautoshi maisha mliyonayo niyakimbuzi sana yaani
Nilijifundisha mwenyeweWe nani aliyekufundisga kusoma na kuandika??
Mwalimu kazi yake si kulea bali kuelekezaWalimu hawahawa wanaotulelea watoto shuleni ila tunawadharauuu[emoji21][emoji21][emoji21]
Huyu alitumbuliwa ndio maana ana hasira snMpwayungu Village swali mbona unawafuatilia waalimu sana Magufuli angekuwepo ungeshatiwa ndani walahi maana mkewe ni mwalimu , yeye alikuwa mwalimu shukuru huyu rasi hakuwaga mwalimu angekufunga
Mimi sijafundishwa na walimuAma kweli wewe ni punda kabisa. Bila huyo mwalimu unayemdharau leo, ungejua kutumia hiyo keyboard kumtukana?