Maoni kuhusu katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maoni kuhusu katiba mpya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtumiabusara, Feb 22, 2011.

 1. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Je ni kitu gani ungependa kiwe kwenye katiba mpya?


  1. DEREVA: Trafiki wasiwepo barabarani
  2. MWANAFUNZI: Mitihani isiwepo, baraza la mitihani lifutwe
  3. MFANYABIASHARA: TRA itaifishwe
  Wewe Je?
   
 2. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....duh! hii itakuwa ni kali ya mwaka!
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  4-jamii forum ipate fungu toka serikali kuu.
  5-kuwe na marais wawili yani rais mkubwa na raisi mdogo
  6-wabunge wapewe bajaji .
   
Loading...