Maoni haya yazingatiwe katika katiba mpya

Maoni haya yazingatiwe katika katiba mpya

Mtamile

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
2,838
Reaction score
1,274
Katiba Mpya izingatie yafuatayo;
1.Nyama iuzwe kwa bei ya dagaa
2.Nauli ya ndege kwenda Afrika Kusini iwe
bure kwa sababu ni mteremko
3.Sukumawiki ichunguzwe kwanini haiwezi
sukuma mwezi au mwaka?
4.Siku za mwizi zifike 70 sababu uchumi
umekuwa mgumu
5.Njiti za kiberiti ziwekwe pande zote la sivyo
wachonge upande mmoja tutumie kama
toothpicks
6.Chumvi iuzwe bei ya sukari na sukari bei ya
chumvi
7.Soda ijazwe chupa hii tabia ya kuacha nafasi
kidogo ni Wizi
8.Donati shimo La ktkt la kazi gan kama C
uhuni?
9.Vocha za buku ziuzwe mia 9 tupate mia ya
kukwangulia.
 
Back
Top Bottom