MAONI.,; Eti kumshauri mpezio atumie CONDOMS...

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,714
Reaction score
17,324
hili nimekutana nalo wiki hii...kwamba kama kweli wampenda mpenzi wako na wajua hawezi shinda vishawishi..then kama waenda mbali kikazi umuachie kabisa box la PSI...

HOW DO U TAKE THIS? Wote.
 
as you took the message dude..
 
Huo unaitwa ukweli unaouma.Maana hapo chagua mawili mwachiwe agegedwe kiroho safi au usimwachie agegedwe kavu..Ukimwachia ukija unapitiliza moja kwa moja kwenye box la PSI lina condom 50...Mfano safari yako umekaa wiki unakuta Condom zimebaki 4 utajiskiaje?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
wewe utajiskiaje..? Zimebaki 4...!!
 
Kumuachia mke box la condom SI kumlinda na magonjwa! Bali ni kumpa ruhusa ya kwenda kutafuta magonjwa!
Hivi umeoa mwanamke gani hawezi kuvumilia wiki 1?

hili nimekutana nalo wiki hii...kwamba kama kweli wampenda mpenzi wako na wajua hawezi shinda vishawishi..then kama waenda mbali kikazi umuachie kabisa box la PSI...

HOW DO U TAKE THIS? Wote.
 
hili nimekutana nalo wiki hii...kwamba kama kweli wampenda mpenzi wako na wajua hawezi shinda vishawishi..then kama waenda mbali kikazi umuachie kabisa box la PSI...

HOW DO U TAKE THIS? Wote.
Hio ni tiketi ya uasherati...
 
Back
Top Bottom