Maoni binafsi: Idadi ya wanaume imepungua sana, wanawake kuweni macho kabla hamjaingia kwenye ndoa

Sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume.
Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.
54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu
Wanakuaje makini? Wapime kwa show kabla hawajaingia?
 
Sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume.
Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.
54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu
Hao single mama walivyowengi wanazalishwa na wanaume 16 tu katka kila mia?
 
Uliwahi kuandika hivi kwenye Uzi wa mshana jr ambao alisema kuwa wateja wakubwa wa sex toys haswa haswa dildo Ni wanaume...alinyaka hiyo habari nywti kutoka kwa mama fulani hivi mfanyabiashara wa hiyo kitu na mmiliki wa saluni pia"

Mkuu siyo wanaume pekee hata wanawake siku hizi hakuna...
Uke hauna ladha..
Utelezi hakuna...
Unapiga tako mbili anakuambia nimechoka..
Matumizi ya vuzuia mimba yametuhaeibia wanawake pia yanatuharibu sisi...

Yapo mengi lukuki Yanayotusumbua both me nd ke...
Nini kifanyike?
 
Acha kujipendekeza kwa wanawake we Jamaa
Nenda kwnda ya ziwa uone idadi ya watoto.
Au Ni wanaume gani unaowaongelea?
Haha hahah hahah hahah njoo kinondoni uone
1617779289671.png
 
Ila hao 16 mbona kama wengi sana, umewasahau wenye magonjwa ya akili halafu hawajijui.
 
Back
Top Bottom