Maoni binafsi: Idadi ya wanaume imepungua sana, wanawake kuweni macho kabla hamjaingia kwenye ndoa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,739
155,431
Sio kila mtu mwenye maumbile ya kiume ni mwanaume. Kwenye wanaume 100 kuna wanaume walio kamilika 16 tu.

54 wana low sperm count
7 mashoga
33 hawana nguvu za kiume kutokana na punyeto, magonjwa ya zinaa, ulevi ulio kithiri wa pombe, madawa ya kulevya etc, kisukari na magonjwa mengine ya muda mrefu.
 
1617760295885.png
1617760327457.png
 
Back
Top Bottom