Maongezi na wazazi wangu jana usiku.

ninaona wengi wenu mnashabikia mahari..............................uzoefu wangu ni kuwa mahari imepitwa na wakati na inachangia sana wanandoa wengi kuwa na migogoro hasa wanaumme hudhani wamemnunua mke.kwa hicho kimahari walichokitoa.............................madai ya uhur na haki kwa wananwake yataanza kushika kasi kama mahari zitafutwa.............................na mawazo haya ya Nazjaz ninayaunga mkono ya kuwa wazazi waache kuwafilisi watoto na madai kama haya ya mahari ila wawe chachu kwa kuangalia hata namna ya kuwawezesha ili waweze kujiendesha vyema..............
Mahari ni muhimu kaka angu hata kama ni kidogo tu kama mbuzi wawili just to show the tradition inaleta raha fulani hivi, ila ya huyu dada imezidi milioni moja na nusu ya nini kama ananunua bajaj?
 
Ulichokosea ni kupanga matumizi ya mahali. Hiyo kwa mila na desturi zetu ni za wanaukoo, ambao ni lazima washirikishwe. Pia inategemea uliongea kwa tone gani kwa baba, akahisi unataka umpande kichwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom