funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
college girl (siku hizi JF imevamiwa) lol, mpk watoto waliovunja ungo nao wapo humuWalinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta.
Nikawailiza mahari inakuwaje kulingana na mila zetu?
Wakanitajia, nikapiga hesabu nikaona mahari inafika kama milioni moja na laki 2.
Nikawaambia wazazi wangu kuwa, kwakuwa nina shamba kisarawe, nikipata mchumba wamwambie alete matofali ya kuanzia kwa ajili ya nyumba ambayo itakuwa yangu na mume wangu.
Baba yangu alipinga na kuongea maneno yote mabaya.
Je nilikosea nini?
Au aliona namzibia hela za bakuli la komoni?