hufanya maonyesho mbalimbali ikiwa ni pamoja na graride za kujenga maumbo mbalimbali ya nchi zao kama vile nembo za mataifa yao, majina ya mataifa yao, umahiri na uwezo wa kijeshi wa makomandoo wa mataifa yao, huonyesha uwezo wa kijeshi wa farasi wao wa doria, huonyesha uwezo na umahiri wa mbwa wao wa kijeshi n.k🐒Mara kadhaa kukiwa na tukio fulani la kitaifa wanajeshi wetu hufanya maonesho ya kuvunja tofali kifuani, naomba kujua, Je, majeshi ya wenzetu kama vile USA, KOREA, RUSSIA nk. hufanya maonesho gani siku kama hizo?