maombi ya kuliombea taifa ARUSHA TAREHE 5 MWEZI WA SABA 2012

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
Poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa letu la tanzania.kutakuwa na maombi ya kuliombea taifa letu la tanzania na kuvunja laana zote zilizowekwa katika ardhi ya tanzania.

Eneo ni safina radio arusha ukifika we ulizia safina radio utapelekwa.
Kutakuwa na vyombo maalumu vy a kuhifadhi udongo na unatakiwa uje na udongo wa sehemu unayoishi,kutakuwa na chombo cha kuhifadhia udongo ni kidogo tu na kitakuwa na jina la mkoa kwaiyo unaangalia mkoa uliotokea na unaweka hapo ni udongo kidogo tu nia ni kuvunja maagano na laana zote maana kumbukumbu zote huwekwa katika arhi, pia kutakua na chombo kwa ajili ya udongo wa familia na kazi nia ni kuvunja laana ya familia itaanza saa moja kamili na kuisha jioni karibuni sana ukisikia mwambie na mwenzako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom