Maombi ya Kazi

RamadhaniAbuu

New Member
Mar 27, 2019
1
0
Habari ndugu zangu. Naitwa Abuu,Naishi Dar es salaam, ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Natafuta kazi hata iliyo nje na taaruma yangu. Kielimu bado ni mwanafunzi wa chuo diploma level in Journalism and mass communication. Nahitaji nipate kazi yoyote yenye maslahi ambao yataweza kunisaidi ktk mamb yang binafsi haswa ya chuo. Tafadharii ndug zang naomba Tupeane fursa za kazi. 0654 323 454.. ni no; kwa ajili ya mawasiliano.
 
Back
Top Bottom