Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

Maombi ya fursa ya kazi – hydraulic excavator operator

Sema kama ana umri ambao anaweza kujitegemea Chunya pana Excavator nyingi sana na unapozungumzia huko ndio ipo mitambo haswa anaweza kwenda eneo la tukio akasota huko kwa muda kadhaa atapata tu kazi nina uwakika na huko maana migodi mingu wanatumia hiyo mashine ya watu wa kawaida na makampuni na pia Chunya pana mzunguko mkubwa wa hela kuliko sehemu zote za madini Tanzania..
Mkuu mnunulie basi naimani huwezi kushindwa kulimudu hilo mpeleke chaka uhakika wa milioni kwa siku unapata mbona
 
Zipo hata used mkuu 160M
Usije kujaribu kununua mtambo wa used utakuja kuwa fundi mwenyewe niliwahi kumshauri jamaangu mmoja akapigiwa simu moro mtambo wa 80m nadhani kauacha huko shambani baada kila kukicha mara hiki kibovu..
 
Back
Top Bottom