Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,622
- 4,138
WAKUU,
MAOMBI YENU JAMANI,
NIPO SITI MOJA NA MAMA MKWE KWENYE DALADALA
HALAFU MFUKONI NINA SH. 400/= TU!
NA NIMEFANYA UCHUNGUZI WA KIINTELIJENSIA
NIMEBAINI KUWA HUYU MAMA MKWE HAJABEBA HELA HATA SH.100,
BILA SHAKA ANANITEGEMEA MIMI.
SASA KONDA ND'O ANASOGELEA PANDE HIZI WAKUU!
TUOMBEANE DUA WAKUU!