Maombi ndani kwa kanisa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ndani kwa kanisa!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by JoJiPoJi, Feb 19, 2012.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Baada ya ibada kuisha ikafuatia kipengele cha maombi,PADRY akasema
  kama kuna muumin yeyot
  ana maombi ainuke,
  Mara mtoto akaenuka na
  kuanza kuwaombea wazaz wke, Akaanza mtoto
  nawaombea wale wote
  wasiokua na mavaz kama
  wale wasichana wanaokaa
  uchi kwenye CM ya BABA wapate hela wanunue
  nguo, napia nawaombea wale
  wasio kua na nyumba
  kama wale wanaume
  wanaokuja kulala na MAMA baba akiwa hayupo
  uwape
  uwezo wajenge nyumba zao waache kuja kumsubua
  MAMA ucku,
  na yule anayecheza mieleka na dada kitandan
  mungu amjalie afike fainali acheze na john cena!
   
 2. L

  Lymphocytes Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  amemsahau anayemchumisha kaka yake mchicha...
   
 3. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huyu mtoto paparazi wasihangaike kumtafutia fani!
   
 4. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na yule aliyemuingizia dudu kwenye kikojoleo chake alimsahau?
   
 5. sister

  sister JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  hahahhhah, mtoto noma.
   
 6. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katumia vizuri fursa aliyopewa, Bila shaka mungu wake kamsikia, kasheshe kwa mama kuruhusu wanaume walale nyumbani wakati baba hayupo!!
   
Loading...