Ndugu wanaJf kama mnakumbuka baada ya sakata la kuvuliwa ubunge na mahakama katika hali ya mizengwe Mh.Lema alisema nafunga kwa siku saba. Na kama mnavyoona mkanganyiko ulioko Arusha ndani ya CCM ni dhahiri kuwa Mungu anajibu mapema. Naona tusubiri mengine mengi tu!!