Dada wawatu wala hawazii jamaa anachokiwaza, yeye anawaza nani kamfollow
dah kweli mkuuHumo chumbani mlikuwa wangapi ??????
Hiyo picha kuna mtu amewapiga au mnaigiza????
hahshhahahaaaa! hamu yote kwishaaa!Unagonga hisabati hizo halafu unakutana na kitu cha "tikiti" plasi ng'onda juu!.
Ohoooo!!!
Hicho ndio safi hata ndonga ntaziweka kando,nusu saa tu ntakuwa nimetengeza ng'anu ng'enuUnagonga hisabati hizo halafu unakutana na kitu cha "tikiti" plasi ng'onda juu!.