tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,955
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki baina ya Kazimoto na Lamine ambapo mwamuzi akaamua kuwalambisha red card.
Kiukweli kile kitendo cha Lamine ni uhuni mtupu usiokubalika michezoni kwasbb ungeweza kuhatarisha kama si kutamatisha career ya soka la Kazimoto.
Hvyo naiomba TFF iingilie kati na kumuongezea adhabu kali sana huyu mchezaji kwa kumfungia hata miezi kadhaa ili iwe funzo kwake yeye na kwa wengine kama ambavyo wachezaji wengine wanavyoadhibiwa kwa kupiga viwiko, kupiga vichwa wenzao na mengneyo yasiyo ya kiungwana!!
Pia naiomba TFF iifute ile kadi nyekundu aliyopewa Mwinyi Kazimoto, naamini alistahili yellow na hii ni kutokana na kushindwa kuhimili hisia zake kwa kitendo alichofanyiwa na Lamine