B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,649
- 6,411
Wakuu habari zenu hapa.
Sijawahi kuandaa na kuandika uzi hapa.
Ila huu uzi uwe maalumu kwa ajili ya kumuombea ndugu yetu, mzalendo, mpenda haki na mpenda sheria na mpenda mabadiliko yenye faida kwa taifa hili.
Si mwingine bali ni #NIYEYE Mhe/Ndugu Tindu A Lissu.
Naanza na sala kutoka nafsini mwangu.
Mungu baba mwenye enzi yote naomba kukushukuru kwa pumzi hii na nafasi ya uhai huu, baba unisamehe yote niliyotenda kinyume na amri zako/mapenzi yako, baba tuzidishie uzima na naomba umpe ulinzi ndugu TUNDU A LISSU na wote wenye kupigania haki ya wa Tanzania. Weka ulinzi wako kila amkapo, alalapo anapokula na kila anapo simama kutembea au chochote kile umlinde kwa damu ya mwanao YESU kristo.
Mkinge na hila majini wachawi waganga na masadukayo yoote.
Muepushe na mabaya wapangayo mafarisayo. Mpe afya zaidi.
Sote tuseme Ameeen
Kila mtu asali kwa imani yake.
ONYO.
Huu uzi sitaki maombi mabaya. Tutazinguana
Ukiomba mabaya yakupate wewe mwenyewe.