Nimeikuta kwa Jide.blogspot
Raia wamegoma kutoa misaada kwa omba omba baada ya ile story ya manyoya ilioenea jijini Dar es salaam.
Sasa watoto wanalala barabarani kama hivi, ishara ya kwa njaa kali.
Imani zingine bwana, mi naona tuwasaidie tu.
Hii ni chumvi kidogo, hapa sio barabarani, hii ni parking lot see the pavements hakuna tarmac kuonesha kuwa hii ni barabara.
labda bara bara ya kuingilia chumban kwake
ha ha ha mkuu yeah lami kwanza kwa nchi yetu tunaona ni luxury goods wakati kwengine is necessity goods!! thats Tz!kimey waambie bwaana si kila bara bara ina lami
wengine kuingilia majumbani mwetu atuweki lami
ila angalia mpwa hao wasije kuwa umewaajiri kama walinzi usiku wakaamua kujilalia mpwa
ssheria itafatwa mkondo wake
Ni kweli mkuu na mimi naamini misemo ya watu kwamba ombaomba ni mradi wa watu,maan mtu mzima kama huyu anawalaza watoto chini kwenye eneo la parking na kudanganya umma hapo ni barabrani,ni ajabu kabisa hiiHii ni chumvi kidogo, hapa sio barabarani, hii ni parking lot see the pavements hakuna tarmac kuonesha kuwa hii ni barabara.