Manyoya yamezua balaa!!

Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,117
831
Nimeikuta kwa Jide.blogspot
omba%2Bomba.jpg

Raia wamegoma kutoa misaada kwa omba omba baada ya ile story ya manyoya ilioenea jijini Dar es salaam.
Sasa watoto wanalala barabarani kama hivi, ishara ya kwa njaa kali.
Imani zingine bwana, mi naona tuwasaidie tu.
 
Hii ni chumvi kidogo, hapa sio barabarani, hii ni parking lot see the pavements hakuna tarmac kuonesha kuwa hii ni barabara.
 
kimey waambie bwaana si kila bara bara ina lami
wengine kuingilia majumbani mwetu atuweki lami
ila angalia mpwa hao wasije kuwa umewaajiri kama walinzi usiku wakaamua kujilalia mpwa

ssheria itafatwa mkondo wake
 
labda bara bara ya kuingilia chumban kwake

inawezekana, maana naona hiyo gari T 150 ANM imegota haiwezi kwenda mbele kuna kigingi ( ona magururdumu ) na pembeni chini kushoto, mguu wa kulia wa mtoto mwenye T shirt nyrkundu, kuna roadsign ina maana hata hiyo gari nyeupe ikeendeshwa itagonga hiyo signpost.
 
Hii ni chumvi kidogo, hapa sio barabarani, hii ni parking lot see the pavements hakuna tarmac kuonesha kuwa hii ni barabara.
Mkuu yaani inaonekana hao watoto walikaa babarani wakaona hakuna wapatacho then wakaenda jipumzisha mahala!!
 
kimey waambie bwaana si kila bara bara ina lami
wengine kuingilia majumbani mwetu atuweki lami
ila angalia mpwa hao wasije kuwa umewaajiri kama walinzi usiku wakaamua kujilalia mpwa

ssheria itafatwa mkondo wake
ha ha ha mkuu yeah lami kwanza kwa nchi yetu tunaona ni luxury goods wakati kwengine is necessity goods!! thats Tz!
 
Hii ni chumvi kidogo, hapa sio barabarani, hii ni parking lot see the pavements hakuna tarmac kuonesha kuwa hii ni barabara.
Ni kweli mkuu na mimi naamini misemo ya watu kwamba ombaomba ni mradi wa watu,maan mtu mzima kama huyu anawalaza watoto chini kwenye eneo la parking na kudanganya umma hapo ni barabrani,ni ajabu kabisa hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom