Manyoni: Moto wateketeza Bweni Shule ya Sec. Mwanzi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Bweni la wasichana wa kidato cha V na VI wa Shule ya Sekondari ya Mwanzi Manyoni limeungua moto uliozuka kuanzia saa 2.20 usiku.

IMG-20160910-WA0002.jpg


Bweni lilikuwa linatumiwa na wanafunzi 40 ambapo vitu vichache sana vimeweza kuokolewa. Bweni lilikuwa la vyumba 3 ambalo vyumba 2 kuta zake zimebomoka kabisa.

Inahisiwa kuwa hitilafu ya umeme ndio chanzo.
 
Habari wakuu,

Kwa taarifa zilizonifikia zinahabarisha kuwa Bweni la wasichana wa kidato cha V na VI wa Shule ya Sekondari ya Mwanzi huko Manyoni limeungua moto uliozuka kuanzia saa 2.20 usiku. Bweni lilikuwa linatumiwa na wanafunzi 40 ambapo vitu vichache sana vimeweza kuokolewa.

Pia Bweni lilikuwa la vyumba 3 ambalo vyumba 2 kuta zake zimebomoka kabisa. Inahisiwa kuwa hitilafu ya umeme ndio chanzo.

Taarifa zaidi zitakujia kupitia Uzi huu....
 
Back
Top Bottom