Mwalimu unatongozwa kwa ishara, usipojiongeza unatamkiwa.
Usipotembeza mboko za kichapo cha mbwa mwizi, utataniwa 'shemeji' kiuficho na kubakwa kisaikolojia huku vyenyewe vikicheka. Sababu kubwa ikiwa ni kukuroga huo ukali wako au u handsome bachelor wako, ama unalengeshwa kubambikwa mimba kaliyoitoa uchochoroni kwa wauza chips.
Usipokuwa shujaa wa majaribu, hapo lazima kikupate!
Mtoto ni mtoto kwako wewe mzazi wake, akitoka kwako ni mkubwa kuliko unavyomdhania.
Maana akirudi home anajityuni haiba aliyokuzoesha kumuona nayo, anaongea polepole na heshima tele.
Lakini akitoka kwako ni mbwa mwitu mwenye njaakali sana.
Ukisimuliwa matendo ya mwanao na wanaomfaham, saazingine unaweza ukabishi kwa kiapo, maana umri, sura na hivyo vituko havilingani naye, lakini kumbe matendo hayo yanakuwa ni yake wala hasingiziwi.
Hii kauli ya kubakwa wasichana ni lugha za kisiasa, lakini vyanzo vikubwa na kwa asilimia kubwa ni wasichana wenyewe.
Tunapowajaji hawa walimu sazingine tuume na kupulizia, wapo kwenye mitihani na majaribu magumu mno, ambapo hata shetani mwenyewe akipewa hawezi kuivuka.