mmh! ngoja kiduchu.Waberoya....
Mwombe mwenzako njaa lakini hilo ni dua la kuku alimpati mwewe.Thanx sana Web kwa post yako ila mie nina macheche ya kuchangia....
1. Is 100% declared that JF is 4 Change???? UPINZANI???? Such that hakuna haja ya Kujadili yanayoendelea upande wa CCM ambao bado ndiyo chama Tawala (UKWELI). Hawa wanafaa kujadiliwa ili tujue udhaifu wao na Uzuri wao....huwezi ukapambana na adui usiemjua...Ukijua his/her STRENGTH and WEAKNESS inakua rahisi sana kuwin Battle......
2. Member wa Chama kusema nje ya chama inategemea na kauli itakayotolewa na member husika ina athari gani kwa jamii itakayosikia kauli hizo...More -ve kauli lazima zitapondwa na other party members....No matter kama kauli hiyo ina ukweli au la....
3. Kuhusu CHADEMA kupata misukosuko kama hii wanayoipata CCM kama wataweza ku sustain au la hili linahitaji kutokea kwanza....ila nao CDM wameshapata misukosuko lakini bado wapo...na wanapambana....Alikuwepo David Kafulila na sana kuna SUGU...ni kama bandika Bandua.....Kwa misukosuko ya UFISADI ni mpaka hapo CDM watakaposhika DOLA...au Halmashauri wanazoziongoza kama zita underperform.
Kwanza; Tumeonya watu kuwa waangalifu sana na kujadili CCM, kwani upepo ukibadilika watu hawa nao huwa wanabadilika. Upinzani; this is a challenge, wengi wa hawa followers ni wafuata upepo kwa mfano,. kumjadili Beno mallisa au martina shigela ili iweje? who are these poor guys? nimeona wanaojiita chama cha wapinzani wakuu, wamo humo na wanawakandia kweli...kumbe wangefanya kinyume chake wangewasifia! these guys are CCM followers..caught in the act! CCM bado iko vichwani mwao kwa vitendo na hisia, ila midomo yao wanajiita wapinzani!
Pili; huu upepo au situation iliyomo ndani ya CCM, kusemana hadharani na watu kuwasifia wakiwa sikiliza Sita, mwakyembe au Sumaye wakisema vitu kinyume na chama chao! still wapinzani au maadui wa CCM wanafurahia sana hili swala..TENA WANAWASIFIA mno.
Turudi nyumbani
Turudi chamani
Je vyama hivi vya upinzani member wao mmoja akisema kinyume au nje ya chama, huwa anachukuliwaje?? msaliti, mwongo, ...mzushi.....mkweli??
Tafakari
Ukienda kulia na kushoto, utakuta wengi HATUONGOZWI NA KANUNI tuna double standard
kwa hali hii CCM ikItulia na ikaponea chupuchupu kutoparaganyika then CCM inaonekana kidemokrasia iko mbali na imeacha vyama vingine mbali mno..huu ni ukweli!
Kwenye upinzani bado hakuna uhuru wa mawazo na KUTOFAUTIANA KICHAMA WATOFAUTIANE CCM, WAKITOFAUTIANA ndani ya vyama vingine HAITAKIWI!! mathalani moto huu wa uonaouchoma CCM, chadema will never sustain even a second!! sound true eeh!
Walichosema UVCCM ndio dhana na wengi akina chadema-JF huwa mnasema pindi mmoja wa viongozi wenu akisema nje ya chama! Je tofauti yenu ni nini?? meza hilo!
ukiishi kwa kanuni RAHA!!
Just evaluate yoursefl
Msema ukweli daima!
Matusi proof
Waberoya
jealous ....... feeling resentment against someone because of that person's rivalry, success, or advantages

... nimeona wanaojiita chama cha wapinzani wakuu, wamo humo na wanawakandia kweli...kumbe wangefanya kinyume chake wangewasifia! these guys are CCM followers..caught in the act! CCM bado iko vichwani mwao kwa vitendo na hisia, ila midomo yao wanajiita wapinzani!
...
Kwenye upinzani bado hakuna uhuru wa mawazo na KUTOFAUTIANA KICHAMA WATOFAUTIANE CCM, WAKITOFAUTIANA ndani ya vyama vingine HAITAKIWI!! mathalani moto huu wa uonaouchoma CCM, chadema will never sustain even a second!! sound true eeh!
Walichosema UVCCM ndio dhana na wengi akina chadema-JF huwa mnasema pindi mmoja wa viongozi wenu akisema nje ya chama! Je tofauti yenu ni nini?? meza hilo!
ukiishi kwa kanuni RAHA!!
Just evaluate yoursefl
Msema ukweli daima!
Matusi proof
Waberoya
If so they are using old fashioned techniques for loosing more constituency seats.CCM hakuna msukosuko, ila kuna tekniki za kuwaadaa wapinzani nao siku zote huwa wanashangilia, mwishoni wanasema wameibiwa kura.
If so they are using old fashioned techniques for loosing more constituency seats.