Many CHADEMA followers are NOT Real and are like UVCCM! ( IS CCM>WAPINZANI??)

CCM hakuna msukosuko, ila kuna tekniki za kuwaadaa wapinzani nao siku zote huwa wanashangilia, mwishoni wanasema wameibiwa kura.
Mkuu.
Pale inapokuwa ni misukosuko ya kweli..CCM ni wepesi wa kuwadhibiti wanaoleta misukosuko, kuanzia kwa kuwapandisha vyeo, kuwafukuza chama, kuwakaripia au kuwakolimba na inakuwa business has been taken care of .

Misukosuko mengine au mipasuko mengine huwa kweli ni njia ya kuwahadaa watanzania...unasikia kauli kama za Warioba, baada ya siku mbili anarudi kukanusha au kusema amenukuliwa vibaya...

Kwa mbali naelewa kwa nini hatutaki kutumia neno Tanganyika , ni kwa sababu linanasibishwa na wadanganyika...lakini ni ukweli tunadanganyika kwa ulaini sana.
Wengi tumekuwa kama bendera.......
 
Waberoya ni mwalimu mzuri sana nimesoma kila mara nakala za makala zake 'zinafundisha' na wanafunz wengi wamekuwa wakimwamini tokana na namna anavyojihami, anavyojisifu ndani ya makala zake hizo kwamba yeye ni matusi proof, yeye ni mkongwe sana ndani ya JF, vijembe vyake wengine hawaviwezi na mambo kadha wa kadha ambayo ilipaswa hadhira kumsifia. Pamoja na kuwa mwalimu mzuri sana wa CDM + CUF n.k lakini amekuwa msatari wa mbele kubeza, kutukana na kudharau kila juhudi wanafunzi wake hao wanazofanya kwa kutoa matokeo kabla hata mitihani kufanyika, ndg zangu mwalimu wetu ni mbinafsi na anatutega kila siku tusitoke hapa tulipo, tuzinduke, tuchukue yale mazuri yake na hayo ya kipumbavu tuachane nayo. Natanguliza shukrana kwa mwalimu, ' tuwe macho tusije ingia mtegoni'
 
Was this really neccesary??

Tatizo lako unapoleta mada zako unakuja umeshajihami ki-ugomvi, halafu watu wanapojibu kwa lugha yako unaona wanakutukana!!

Hahaa, very necessary indeed si unaona umeshindwa hata kumtukana! Kujihami kwa ugomvi bila ugomvi hiyo ni nzuri sana. Kwa mitusi mbona mnajulikana na siyo kwa sababu mnapenda lah, kisaikolojia hiyo ni silaha ya mwisho mtu asiye na hoja hujikuta akitumia. Wabe looks like a Great man right...
 
Kwanza; Tumeonya watu kuwa waangalifu sana na kujadili CCM, kwani upepo ukibadilika watu hawa nao huwa wanabadilika. Upinzani; this is a challenge, wengi wa hawa followers ni wafuata upepo kwa mfano,. kumjadili Beno mallisa au martina shigela ili iweje? who are these poor guys? nimeona wanaojiita chama cha wapinzani wakuu, wamo humo na wanawakandia kweli...kumbe wangefanya kinyume chake wangewasifia! these guys are CCM followers..caught in the act! CCM bado iko vichwani mwao kwa vitendo na hisia, ila midomo yao wanajiita wapinzani!

Pili; huu upepo au situation iliyomo ndani ya CCM, kusemana hadharani na watu kuwasifia wakiwa sikiliza Sita, mwakyembe au Sumaye wakisema vitu kinyume na chama chao! still wapinzani au maadui wa CCM wanafurahia sana hili swala..TENA WANAWASIFIA mno.

Turudi nyumbani

Turudi chamani

Je vyama hivi vya upinzani member wao mmoja akisema kinyume au nje ya chama, huwa anachukuliwaje?? msaliti, mwongo, ...mzushi.....mkweli??

Tafakari

Ukienda kulia na kushoto, utakuta wengi HATUONGOZWI NA KANUNI tuna double standard

kwa hali hii CCM ikItulia na ikaponea chupuchupu kutoparaganyika then CCM inaonekana kidemokrasia iko mbali na imeacha vyama vingine mbali mno..huu ni ukweli!

Kwenye upinzani bado hakuna uhuru wa mawazo na KUTOFAUTIANA KICHAMA WATOFAUTIANE CCM, WAKITOFAUTIANA ndani ya vyama vingine HAITAKIWI!! mathalani moto huu wa uonaouchoma CCM, chadema will never sustain even a second!! sound true eeh!

Walichosema UVCCM ndio dhana na wengi akina chadema-JF huwa mnasema pindi mmoja wa viongozi wenu akisema nje ya chama! Je tofauti yenu ni nini?? meza hilo!

ukiishi kwa kanuni RAHA!!

Just evaluate yoursefl

Msema ukweli daima!

Matusi proof
Waberoya

I think the problem ya watu kama nyie mnaoandika hoja kama hizi ni wazi the word politics kwenu ni changa. Unadhubutu kufananisha Chadema na ccm kwenye misingi ipi tena? Tangu lini umeona chama kama Chadema Tanzania? Kinachoonekana kwako wewe mafanikio ya Chadema na changes zilizokuja mpaka sasa huzioni sio? I am sorry for you thoughts.

Since when tunanza kuwalaumu Chadema kwa vitendo vya ccm? Chadema hawashirikishwi na wala hawaelezwi nini ccm inafanya ndani ya serikali yetu na wewe unakuja na porojo za kuandama CDM. Policies za CDM zinalezwa kwa uwazi na malengo ya CDM kuijenga Taifa kiuchumi, kielemu na sekta zingine za Tanzania wamejieleza. I am not surprise kwa mawazo ya mwananchi kama wewe, you are among the victim of ccm and you lost hope for new Tanzania. Sisi na wengi Chadema tutaendelea kupigania nchi yetu na tunajua we have will and opportunities kubadilisha Tanzania. Egypt, Tunisia na nchi zingine wanafanikiwa why not Tanzania?
 
Umenena Waberoya, kunya anye kuku akinya bata ataharisha tu. Watu hawaeleweki hata kidogo, hawana ukweli ndani ya mioyo wao, hawana standards kabisa wana double standards hadi utashangaa.
 
Mkuu Waberoya, kwenye mkusanyiko wowote wa watu wengi kamwe hakukosi majaribuni ya aina moja au nyingine ambayo yanasababisha msuguano/mtikisiko lakini pamoja na hayo ulyoyasema kuhusu CHADEMA, inapokuja kwemye utetezi wa maslahi ya Tanzania na Watanzania CHADEMA is better of mara milioni ukilinganisha na chama cha mafisadi/majambazi ambao wamechangia sana katika matatizo mbali mbali ndani ya nchi yetu na hivyo kukosa maendeleo yanayoridhisha ukilinganisha na baadhi ya nchi za majirani wetu.
 
I think the problem ya watu kama nyie mnaoandika hoja kama hizi ni wazi the word politics kwenu ni changa. Unadhubutu kufananisha Chadema na ccm kwenye misingi ipi tena? Tangu lini umeona chama kama Chadema Tanzania? Kinachoonekana kwako wewe mafanikio ya Chadema na changes zilizokuja mpaka sasa huzioni sio? I am sorry for you thoughts.

Since when tunanza kuwalaumu Chadema kwa vitendo vya ccm? Chadema hawashirikishwi na wala hawaelezwi nini ccm inafanya ndani ya serikali yetu na wewe unakuja na porojo za kuandama CDM. Policies za CDM zinalezwa kwa uwazi na malengo ya CDM kuijenga Taifa kiuchumi, kielemu na sekta zingine za Tanzania wamejieleza. I am not surprise kwa mawazo ya mwananchi kama wewe, you are among the victim of ccm and you lost hope for new Tanzania. Sisi na wengi Chadema tutaendelea kupigania nchi yetu na tunajua we have will and opportunities kubadilisha Tanzania. Egypt, Tunisia na nchi zingine wanafanikiwa why not Tanzania?

Egypt wamefanikiwa nini mkuu?
 
Egypt wamefanikiwa nini mkuu?

Well ni process ndugu. Maafa ya Mubarak yalichukua miaka mingi kuyajenga na tusianze kuwa na pressure na ku-expect Egyptians kujikwamua kwa mwezi mmoja, the worse maybe is over or still to come. This is just a start and they didn't have other choice. Tukikaa na kuangalia kwamba hatutaweza ku-achieve anything or kujiongoiza bila ccm, hii ni aibu kwa wananchi millioni 40. Sidhani kwamba hakuna alternatives mbali na ccm. Wengi hatuna fear na ccm wameharibu vitu vingi kuanzia mfumo wa justice system/Katiba, sio kitu rahisi tunako kwenda na kuwaancha ccm madarakani ndio mbaya zaidi. Let's give an opportunity kwa chama kingine. Huko US na UK mbona Democratic, Republicans, labor au Conservatives wanaweza kubadilishana uongozi na nchi zikafanikiwa? Kwanini tusiwe na visions za democracy like this? Binafsi najua Watanzania want the best for their future.
 
Waberoya ni mwalimu mzuri sana nimesoma kila mara nakala za makala zake 'zinafundisha' na wanafunz wengi wamekuwa wakimwamini tokana na namna anavyojihami, anavyojisifu ndani ya makala zake hizo kwamba yeye ni matusi proof, yeye ni mkongwe sana ndani ya JF, vijembe vyake wengine hawaviwezi na mambo kadha wa kadha ambayo ilipaswa hadhira kumsifia. Pamoja na kuwa mwalimu mzuri sana wa CDM + CUF n.k lakini amekuwa msatari wa mbele kubeza, kutukana na kudharau kila juhudi wanafunzi wake hao wanazofanya kwa kutoa matokeo kabla hata mitihani kufanyika, ndg zangu mwalimu wetu ni mbinafsi na anatutega kila siku tusitoke hapa tulipo, tuzinduke, tuchukue yale mazuri yake na hayo ya kipumbavu tuachane nayo. Natanguliza shukrana kwa mwalimu, ' tuwe macho tusije ingia mtegoni'

I think the problem ya watu kama nyie mnaoandika hoja kama hizi ni wazi the word politics kwenu ni changa. Unadhubutu kufananisha Chadema na ccm kwenye misingi ipi tena? Tangu lini umeona chama kama Chadema Tanzania? Kinachoonekana kwako wewe mafanikio ya Chadema na changes zilizokuja mpaka sasa huzioni sio? I am sorry for you thoughts.

Since when tunanza kuwalaumu Chadema kwa vitendo vya ccm? Chadema hawashirikishwi na wala hawaelezwi nini ccm inafanya ndani ya serikali yetu na wewe unakuja na porojo za kuandama CDM. Policies za CDM zinalezwa kwa uwazi na malengo ya CDM kuijenga Taifa kiuchumi, kielemu na sekta zingine za Tanzania wamejieleza. I am not surprise kwa mawazo ya mwananchi kama wewe, you are among the victim of ccm and you lost hope for new Tanzania. Sisi na wengi Chadema tutaendelea kupigania nchi yetu na tunajua we have will and opportunities kubadilisha Tanzania. Egypt, Tunisia na nchi zingine wanafanikiwa why not Tanzania?

suala la bwana mdogo shigela kumtukana mtu mzima kama Mzee Sumaye, au gazeti la Ridhiwani & Co. kuibuka na habari yenye maandishi "Sumaye Wee ni Ziro - UVCCM"; huu ni utovu wa nidhamu ambao hauna kipimo, ambao unapaswa kupigwa vita na jamii ya watu wa vyama vyote ikiwemo watu wa Chadema.

Wapi maadili. Wabe, taratibu mkuu. Watu wanasoma na kutafakari unachokiandika.

Au unasubiri UVCCM wamtukane mama yako mzazi ndo ujue kama hawa watoto ni majeuri. na 'kuna mtu amewatuma' kama alivyosema mzee Sumaye?

Wapendwa hapo juu Juzi juzi hapa mlitaka mumtoe macho Shibuda, Zito na wengine kisa eti wanaROPOKA NJE YA CHAMA! na eti kama wangekuwa na jambo wangesema CHAMANI!! mlitaka mpaka mumvue madaraka Zito na akaponea chupuchupu ALMANUSRA MUMZIME KABISA!!

UVCCM wanalalamika akina sumaye kusema nje ya chama!!!

Swali langu ni HIVI NI KWA JINSI GANI HAPO UNAWATOFAUTISHA CHADEMA (chadema-JF!!??) NA UVCCM???

SIASA NI HII HAPA CHINI:

.kuchallenge lisiwe tatizo,tatizo liwe anayetoa challenge ana lenga nini na kwa manufaa ya nani..

Ni hivi DEMOKRASIA HAIPO NDANI YA VYAMA VYETU HIVI.... historia ipo na imeandikwa!!

Unajua kuna hoja inabidi ufikirie sana kama mimi nilivyofikiria kuuliza hivi!!! tehe tehe hehe!! LOL!

halafu hoja zingine watu wanasepa tu kama hazionekani vile
 
LICHA YA DINI KUWA BHANGI ZAIDI KWA AKILI ZENYE MAPENGO MENGI KICHWANI, UHALISIA WA MADHARA YAKE NCHINI YAKO JIRANI NCHINI HIVI LEO KULIKO HAPO JANA!!!

... dini ni dhana zuri sana kusaidia kumunganisha binadamu na Muumba wake pamoja na uhusiano mzuri na binadamu wenzake hapa duniani na kwa maisha baada ya uhai katika mwili.

Lakini, kwa maoni yangu, nakubaliana kabisa na mawazo ya Prof Wole Soyinka wa Nigeria kwenye 'The Trials of Brother Jero' kwamba dini kwa watu wasiokua na shule kwanza ni zaidi ya bhangi kichwani.

Nadhali hili linatokana na ukweli kwamba ndani ya fikra zao kumebakia na mapengo ya mambo mengi sana ambayo kimsingi hawakubahatika kufafanuliwa katika maisha yao.

Lakini baya zaidi ni pale baadhi ya vikundi vikiwemo vile vya kisiasa vinapoanza kuona mapengo yale ya ufahamu pungufu juu ya dini husika kama vile ni fursa ya kujipatia mafanikio, na hata wao kwenda mbele zaidi kudiriki kuwekeza majungu na fitina kwenye mapengo yale, hapo Wa-Tanzania ndipo tunapoanza kuwakosa jumla wenzetu kwa kuchanganyikiwa kwao zaidi.

Na mbaka hapo mtu kama huyu huhama kutoka katika ulimwengu wa kawaida na kuishi ulimwengu wa kufikirika tu huku matendo yao yanapogeuka kuwa mmbwa aliyewehuka ambaye anaweza sana tu hata akamdhuru kabisa mfugaji wake mwenye. Hatari ya aina hii haipo tu kwa ndugu zetu Wakristo bali hat kwa Wislamu pia.

... mwisho, nasema ninavyounganisha vijidoti fulni fulani juu ya udini nchini na kwamba baali ya wanasiasa waliofilisika kichwani na wenye kuhisi kujeruhiwa na hivi sasa kuamua kukodisha rasmi 'jeshi la kidini' (wenye mapengo kchwani kama nilivyoelezea hapo juu) Wa-Tanzania niseme minara yangu yote sasa yapenyeshwa harufu nzito ya vita kama ambvyo Bwana Mufti Simba alivyotutangazia pale Biafra Kinondoni na nisisikie kata tayari yuko lock-up Keko.

Watch this space kwa hatua hizo z mwisho mwisho za wale wanaohisi kuzidiw kete katika saisa za kutetea maslahi ya umma...!!!!
 
Hiyo teknik ndo imewawezesha kuwa na viti vingi bungeni, bila kuwazubaisha upinzani ingepoteza sana. Upinzani walikuwa wamestopishwa wakisubiri kundi litakalo megeka.

Na sahizi maandamano yenu hayasikiki ktk vyombo vya habari sahizi mnasikia sarakasi hii, harafu unasema ni old stile. weeee

SiASA ZA VISASI,KUVIZIANA,KUHARIBIANA MAJINA,KUONGEA BILA NIDHAMU YA KICHAMA,NA KUWAHESHIMU MAKADA WAKONGWE N.K. NI DALILI KUU ZA " KUFILISIKA KISIASA"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom