Manunuzi mtandaoni

Manunuzi mtandaoni

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba maelekezo ya nyongeza kuhusiana na manunuzi mtandaoni, nahitaji kununua vitu mtandaoni nifanye nini na nianzie wapi maana tayari card yangu ya benk nimeshaiwezesha, baada ya kufanya hivyo nimeregister PAY PAL je ni kitu gani nimebakiza ili niweze kununua chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiunge na Ebay huko ndiko display ya vitu ilipo ni kuna "Money back guarantee" kama hutopata ulicholipia. Usikubali kulipa kitu kwa kutumia kadi yako nje ya PAYPAL, utaliwa.
 
Back
Top Bottom