Manumba alazwa ICU Aga Khan

 
akiwa apo ICU aoneshwe picha za Mwangosi, tusikie anasemaje. Huenda tukamsamehe makosa aliofanya!
 
Too low!
ukiachilia mbali kutowajibika kwake, una ugomvi wowote na huyu ndugu hadi umuombee kifo? Unajua siku ya kufa kwako?

hakun anayejua siku ya kufa kwake,
ila kwahuyu nite jina lolote thats my OPINION au sikuhizi inakatazwa kutoa mawazo yako?
na wewe toa yakwako DADA.
 

Kama kuishika kwenyewe ni kwa stahili hiyohiyo ya kulinda UFISADI ambao unakunufaisha wewe huko UGHAIBUNI ndio maaan povu linakutoka hapa.
Potelea mbali yeyeyote aje lakini my wish ndio hiyo, sawasawa DADA.
 
watu mnaongea kinafiki eti kibanga ana roho mbaya kumuombea kifo..ingekuwa nchemba mngemshambulia hivyo..mimi niko indefferent,.akipona heri asipopona hamna tatizo.,life goes on
 
Agakhani!!!!India jee????Si ndio hawa wanapaswa kupelekwa huko???
 
 
kibanga ampiga mkoloni ni malaria kweli au ndiyo mambo yetu yale???? Yote kwa yote tunakutaka upone ili uendelee na shughuli zako za kila siku.
 
Last edited by a moderator:
 
Daa apa wacha nipite tu, make mod maeneo kama haya hawachelewagi kunigonga nyundo
 
Sasa ndiyo muda mwafaka wa kukumbuka kazi yake kwa Watanzania.............. kama atafanikiwa kurudi salama basi ajaribu kurekebisha makosa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…