Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Kakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
WALA S MDA KUMLAUMU MANULAKakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
WALA S MDA KUMLAUMU MANULA
KILICHOTOKEA N NGUVU ZA GIZA KUSHOTO KUZIZIDI KULIA WAKATI NAANDIKA DRW NILIMAANISHA NILIFANIKiWA KUONANA NA MCHEZAJI MMOJA WA SIMBA AKANIHAkiKisHIA DRW
HUKU KWETU NDIO KABISAA WOTE MPAKA VIONGOZI WANAJUA TUNAENDA KUBEBA DRW YA MAGOLI
MWACHENI KABISA MANULA N KIPA BORA KABISA NA ATABAKI KUWA BORAA
SIMBA NA YANGA 20% NDIO MPIRA HALISI UWANJANI
80% MPIRA UNACHEZWA NJE YA UWANJA
KAMA UAMINI UMEWAZA WACHEZAJI WA SIMBA WALIPOINGIA N KAMA.MISUKULE YANGA WANAPITISHA MPIRA WALIPO NA WANAUANGALIA
KAMA MABEKI WANAPITIKA MANULA N NANI ASIPITIKE
LV HM ALONE
Huo ni ukweli japo kuna baadhi ya watu hawapendi kuusikiaKakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora angeendelea kuwa majeruhi akaendelea kucheza Beno, tizama game alizocheza Beno.Kakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inafahamika lile Koti,wanambania Beno sijui kwa nini..
Kakolanya ni mzuri kuliko Manula,goli la kwanza alikuwa alishatoka golini na ndo magoli ya mbali anayofungwa siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inafahamika lile Koti,wanambania Beno sijui kwa nini..
Hii mechi.kwa uwekezaji wa Simba iwe fundisho kama ile ua UD Songo, mchezaji kama shabalala kwa mechi za kukimbiza na utumiaji nguvu huwa anakata pumzi.mapema.na anapaniki na kucheza na.refa binafsi alitakiwa kubadilishwa mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
HAhahhaa