Mimi colognes zangu huwa nanunua Macy's department store. Jina linaloeleweka.Siku hizi Kuna watu wananunua chupa tupu ukimaliza kutumia pafyume
Halafu wanaenda jaza na sindano maji na harufu inakuwa pafyume
Mnaopenda kununua vya rahisi na barabarani Ndio mnapigwa feki bila kujijua
Kipindi kile ukisalimiwa βmamboβ unajibu βDoleβ!Cobra, simla, na Yu .these are the best of the best.
Ilikuwa ni hatariii sanaaaaa.... good old daysKipindi kile ukisalimiwa βmamboβ unajibu βDoleβ!
Hawa wa simu za mkononi hawawez elewa
Hawa macys hapa bongo store yao iko wapi??Mimi colognes zangu huwa nanunua Macy's department store. Jina linaloeleweka.
Ukifika mlangoni tu unajua hapa si sehemu ya kitoto.
Sitaki ujinga.
www.macys.com
Macys sifikiri kama wapo bongo. Wangekuwepo ningejua.Duka la unyamwezini hilo.Hawa macys hapa bongo store yao iko wapi??
View attachment 1239699View attachment 1239701
Ni vigumu sana kuchagua Cologne nzuri kwa ujumla kwa kuwa unapulizia kulingana na mazingira au hali ya hewa.Ndo maana watu kama Kiranga Nyani Ngabu wana collection kubwa sana ya hivyo vitu. Kwa mlio nyumbani suala la hali ya hewa huwa haliwaathiri sana.
Kama ningeambiwa nichague let's say tatu tu za kiume,ningechukua 1.Aqua Di Gio Profumo 2.Blue De Chanel 3.Dior Sauvage.
Najua watu watajiuliza kwa nini sijachagua Creed au Tom ford. Sababu kubwa thamani ya fedha kwa manukato unayonunua. Nilizochagua bei yake ni around $120 each plus tax Vs creed upwards of $400 plus tax.Najua ambazo Kiduku Lilo angechagua.
Prfm yangu ikizidi sana basi ni 35000
Hizi kwa sisi zinatufaa sana,ukipuliza hiyo kitu lazima atokee mtu kukuuliza,'umepaka perfume gani'...Tupo madaraja tofauti wakuu... sisi wengine tunanunua hizi za kupima pamoja na zile perfume kutoka Syria
View attachment 1201015View attachment 1201016
Ongera saana Mimi huwa ikizidi sana ni elfu 10Prfm yangu ikizidi sana basi ni 35000