Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 99
Hugo Boss,Lacoste
msaada tafadhari
Cobra, simla, na Yu .these are the best of the best.
Parfum ina concentration kubwa ya harufu (aromatic pigments) tofautina na eau de toilette... though zinakuwa applied sawa yaani kupulizwa juu ya nguo na sehemu maalum za mwili (kiwiko nyuma ya sikio n.k)
Deodorant ni spray ambayo inapulizwa juu ya mwili.. na yenyewe pia haina concentration kubwa ya harufu.
spray ni hyo container unayotumia ku-apply hiyo parfum, eau de toilette au deodorant.. so hata dawa ya mbu inakaa kwenye spray can..