Mantiki ya kutoa rambi rambi ni ipi?

Mantiki ya kutoa rambi rambi ni ipi?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,890
Reaction score
31,675
Wananzengo embu tujuzane hapa kidogo, hivi mantiki ya kutoa rambi rambi ni ipi?

Ninadhani rambi rambi ingekuwa inahitajika kufanikisha shughuli nzima ya mazishi kuanzia ununuzi wa sanda, pesa ya kuwalipa wachimba kaburi, vyakula kwa watu watakao fika msibani nk.

Sasa inakuaje msiba umeshaisha lakini kuna watu bado wanaulizia rambi rambi ,hii imekaaje?Ukiuliza unaambiwa ni pesa ya kumfariji mfiwa , sasa suala la kujiuliza hapa ,je thamani ya marehemu inalinganishwa na hizo pesa za rambi rambi?

Wengine kipindi mtu anaumwa kumchangia pesa ya matibabu wanaona shida ila akishakufa ndugu macho yanawatoka kulazimisha rambi rambi.
 
Duh! Kuwalipa wachimba kaburi.... wanaume wa dar mna tabu
 
Nadhani nikwasababu kifo huwa kinatokea ghafla na mtu anakuwa hakujiandaa hivyo nikama kumsupport tu kucover baadhi ya cost
 
Dadeeki vyuma vinaendelea kukaza tu.......mpaka watu wanapata idea mpya mpya

Tunyooshe baba na bado. Japokua wewe ulizitafuna zile za kule Nshomire
 
Back
Top Bottom