Maonesho ni kuonyesha kitu kisha kikaachwa hapo ya kutambulisha shughuli zako yaani siuzi wala kukupa bure Hapo ukawa umekujaje basi kama hakuna kitu cha bure isipokua umeripia kama si leo basi keshoKwa hiyo ulitaka vile vitu vinavyooneshwa vigawiwe bure kwa watanzania ili iwe maonesho ya biashara siyo? Kuna haja ya WaTZ tukaweka haya mambo ya UKAWA pembeni tuwe serious kwenye kutafuta.
Viingilio na kutoa gawio kwa mashirika ya Umma Ni model ya wapi hii?Kila sehemu kiingilio
1. STENDI UBUNGO (Kiingilio),
2. PANTONI (Kiingilio),
3. DARAJA KIGAMBONI (kiingilio),
4. 7-7 (Kiingilio), 8-8 (kiingilio)
5. .......................
Ku-limit watu?Kwa ajili ya kulimit watu maana wakiweka bure nadhani target market wasingeweza kuingia,na kiingilio tu kunakuwa na watu kama wote.
Ku-limit watu?
Swali langu lilikua dogo tu. Jiwe yupo wapi? Pia, Dubai Expo 2021 Wana kiingilio?Yes ukiweka bure hapatatosha ndani...watu watajaza mpaka pa kukanyaga kutakuwa hakuna....halafu wale wenye kwenda kujifunza na kununua vitu hawataingia ,wataenda wale wazee wa kitonga/sadala kwa ajili ya kwenda kuangalia wanyama tu na hawana hata mia ya kununua vitu.
Kwahiyo watu waenye fedha wakiona shazi kubwa hawatoingia......lakini ukiweka kiingilio utawaondoa hao wazee wa kitonga na kuwapata wenye nia ya dhati ya kuingia 77.
Swali langu lilikua dogo tu. Jiwe yupo wapi? Pia, Dubai Expo 2021 Wana kiingilio?
Bongo rahaWAKATI MAONYESHO YA 7-7 YAKIENDELEA UWANJA WA MWL. NYERERE KILWA ROAD NAJIULIZA HIVI IWEJE TANTRADE WAWEKE VIINGILIO KWA ANAEINGIA HUMO UWANJANI?
WAKATI HAKUNA HUDUMA YOYOTE (mfano vyoo, maji nk) wanayotoa kwa waonyeshaji au wanunuzi? je hawaoni kuweka kiingilio kunafanya watu wengi kutotembelea maonyesho hayo? hivyo wafanyabiashara kuzidi kukosa wateja?
Model ya Nini?Viingilio na kutoa gawio kwa mashirika ya Umma Ni model ya wapi hii?