The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
Aliyeuliza swali na she au he? Napenda kufundisha kwa vitendo zaidi.
Dah nilikuwa nije aisee ila mambo yakawa mengi nkaenda kulee ugogoni kula ubuyu.
Hivi we mrembo unajua navyokumisi? Inakuwaje hata PM tu hutaki kunitumia?bhana fanya uje mpendwa
Hivi hajajua we bado hujavunja ungo? Mwmbie ashike adabu yake eti
Hebu niambie kwanza, alishakutongoza?labda ukimwambia wewe atakuelewa
huyo huyo mwanangu pekee niliyependezwa naye.
Hivi we mrembo unajua navyokumisi? Inakuwaje hata PM tu hutaki kunitumia?
Hebu niambie kwanza, alishakutongoza?
Asavali. Naujua ugonjwa wake. Mbona ungekoma?Mara nyingi tu nikamkataa
Niko kwenye inbox yangu naisubiria PM yako ya kwanza niibusu.me nakumiss zaidi na nafarijika nkuonapo jaman. Wewe tena Pm itakuja mfululizo
huyo huyo mwanangu pekee niliyependezwa naye.
toto bichwa maji
kama Bishanga lol!
Well, japo sijaelewa.... RIP Junior.
We acha tu.