umempa nini Bishanga ww?
:-@ dady
:A S-confused1:
Una akili sana wewe!
Kuliko JK?
Mbona nlimkuta
Bishanga anamtongoza mchumbawako?
Jk nina mshinda yeye alipata G.P.A ya 2. na vi point, wakati mie nilipata G.P.A ya 3. na point kadhaa ah ah ah!
Alipata pass ya makarai yakutosha.
Kwenye C zake km ziko 18 kwa semister zite basi C 9 ni za sup
Hahahaaaaa
Copy kwa Dr.zero
ah ah! huyu ni kilaza kuanzia darasani hadi uongozini.. Duh, hatariii
ngoja ni act kama sijaona hii post!HaahhaaaaKweli aisee
mke wake si mamako??
cc: Bishanga
kweli ana akili kama C.T.U
ngoja ni act kama sijaona hii post!
Eeh! Si mama mdogo wangu. Sasa nimeacha tena kumpiga sound maana ana treat fair na ananipenda.
c.c The secretary
umeshafua yale makufuli yako uliyoambiwa uwe unafua?