Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Status
Not open for further replies.
Arushaone nilipeleka ombi kwa Baba V longtime
kuwepo ndoa za mkataba lakini kutokana na kuwa nyuma ya nondo mara kwa mara
hajaweza kulifanyia kazi,
matokeo yake ndo haya
watu wanataka wana ndoa wababanane hadi mwisho
utajuaje alichokikuta mimisa kwa manoah?

 
Last edited by a moderator:

hako kaserengeti boi ndio kanafanya umuache
mwenzio?utamkumbuka lakini kwa bata mzinga alizokua
anakupa.mi sina mengi ngoja nikalie kidogo kupunguza machungu!
shem manoah uje home badae!!!!!



ameshapata tulizo...
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha. Mamdenyi jaman...nilikua sijafunga ndoa bado..tulikua na uchumba safi sn..bs tu..imelazimu itokee ivo
 
Last edited by a moderator:
Babaake @52 kun'nini tena hapa?
Nawaskia kutiana! Mwatiana nini usiku huu?
Nway nisiwarushe kwanza tianeni mkimaliza utaniskumia mtasali (muhtasari)

Heheheeee
Wife analalamika namtia sana pressure wakati ye ndio anasababisha nimtie ila asijali ntapunguza ili apumzike.
 
uliupewa mtasali?
Babaake @52 kun'nini tena hapa?
Nawaskia kutiana! Mwatiana nini usiku huu?
Nway nisiwarushe kwanza tianeni mkimaliza utaniskumia mtasali (muhtasari)
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…