Erickb52 alilipwa ili afanye promo, keshachukua chake sidhani kama atakuja hapa kuthibitisha au kukanusha
huyu bwana ni kama upepo...kuna wakti waenda kaskazini na kuna wakti kusini...lakini mwishowe utapita tu!!
Ulikuwa hujui hilo? ???????
mmmhhhh job true true..
Kama ulikwepo
Hujatulia wewe
Watu wana ajenda za siri na mimi!