Manny Pacquiao vs Timothy Bradley

Manny Pacquiao vs Timothy Bradley

mr kazi nyingi ndo anamuogopa jr

kwa jinsi nilivyoangalia upiganaji wa leo wa manny na pambano la mwisho la floyd nampa kura yangu mayweather labda manny ajirekebishe sana kwenye kukwepa maana kwenye hilo kidogo anajisahau na akimpata yule folyd mviziaji uwezekano wa kupigwa unakuwa mkubwa.
 

cha kunishangaza huyu mke wake manny hakomi kuingia uwanjani kumsuport mmewe kuna match mmewe alipigwa ngumi ya haja akawa chali mkewe akapanda ulingoni akaenda kumlalia huku akilia alishindwa kuvumilia alafu ajabu zaidi anaenda kumvua gloves bradley wakati mmewe kampiga lol!
 
teh teh teh Maywether koko linamuogopa mheshimiwa mbunge...


Sio kweli Manny ndio anamuogopa Moneywether,,,,afu ukumbuke jamaa hajawahi kupigwa hata pambano moja tokea aanze Ngumi ambayo hiyo record hana Mohammed Ally wala Tyson
 
Sio kweli Manny ndio anamuogopa Moneywether,,,,afu ukumbuke jamaa hajawahi kupigwa hata pambano moja tokea aanze Ngumi ambayo hiyo record hana Mohammed Ally wala Tyson

na ndio maana floyd alikuwa hataki kpigana nae kipindi kile ila sasa hivi naona watapigana coz manny pacquiao yule wa zamani tofauti na niliyemuona leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom