Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,792
15,693
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imebakia siku 1 tu tuishuhudie.

Pambano hilo la ubingwa wa mkanda wa WBC (uzito wa juu) linatarajiwa kufanyika mnamo Feb 22 wiki hii kwenye uwanja maarufu wa MGM Grand, Las Vegas, Marekani ambapo wadau mbalimbali wa boxing wamelitaja kama pambano kubwa zaidi la heavyweight tangia lile la Lennox Lewis na Mike Tyson lililofanyika mwaka 2002.

Unamtabiri nani kushinda?

Tuendelee kupeana updates.

690.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app

Screenshot_20200218-122010_1582022288228_1582023416917.jpeg
Screenshot_20200218-135016_1582023376119.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app

Tale of the Tape
Screenshot_20200218-135335_1582023334941.jpeg
Screenshot_20200218-135100_1582023353955.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;

1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
11. Man Pacquiao (Boxer)---Wilder
12. Roman Reigns (Wrestler)---Fury
13. Lennox Lewis (Retired Boxer)---Wilder
14. Sugarray Leonard (Retired Boxer)---Wilder
15. Evander Holyfield (Retired Boxer)---Wilder
16. Larry Holmes (Retired Boxer)---Wilder
17. Mickey Garcia (Boxer)---Wilder
..........list itaendelea

NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.

... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;

1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
..........list itaendelea

NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.

... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyama Wilder atashinda kwa KO japo pambano litakua gumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pamoja kwenye hilo, wadau wengi hawampendi wilder ila sikuhiyo watakubali tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wilder ana haters wengi sana, Kajoshua kamehojiwa juzi eti anadai Fury atashinda wakat yeye mwenyew anamuogopa king Wilder

BronzerBomber he promise hata Mungu hatoweza muokoa Furry na kichapo this round

Baada ya huyu teja tunaitaji pambano na bishoo Joshua ili tumstahafishe kabsa

Tunaitaji only 1punch quick knockout tu, blah blah za kurusha vingumi vingi sisi hatuna

#Tilthisday #OneChampion

Screenshot_20200218-180715.jpeg
Screenshot_20200218-180703.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speak it, believe it, receive it..... #bombsquaaaaad
Wilder ana haters wengi sana, Kajoshua kamehojiwa juzi eti anadai Fury atashinda wakat yeye mwenyew anamuogopa king Wilder

BronzerBomber he promise hata Mungu hatoweza muokoa Furry na kichapo this round

Baada ya huyu teja tunaitaji pambano na bishoo Joshua ili tumstahafishe kabsa

Tunaitaji only 1punch quick knockout tu, blah blah za kurusha vingumi vingi sisi hatuna

#Tilthisday #OneChampion

View attachment 1361864View attachment 1361865

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utabiri wa Mastaa/Wadau mbalimbali wa Combart Sports juu ya hili pambano;

1. Bob Arum (Boxing Promoter)--- Fury
2. Dana White (UFC director)--- Fury
3. Floyd Mayweather (Boxer)---Fury
4. David Haye (Retired Boxer)---Wilder
5. Paul Maligagi (Boxer)---Fury
6. Triple H (Wrestler)---Fury
7. Mike Tyson (Retired Boxer)---Fury
8. Mc Gregor (UFC Fighter)---Fury
9. Anthony Joshua (Boxer)---Fury
10. Ben Davison (Boxing Coach)---Fury
..........list itaendelea

NB: Naona wadau wengi hawaamini kama Wilder anaweza kummaliza Fury kwavile alishindwa kufanya hivyo kwenye pambano la kwanza wakati Fury akiwa kwenye worst shape, hivyo wanaamini kwavile Fury ni better boxer atamshinda kwa kumuoutbox Wilder kama alivyofanya kwenye pambano la kwanza na ukizingatia kwa sasa yupo kwenye his best shape, only way Wilder anaweza kushinda ni endapo atafanikiwa kumpiga KO, kitu ambapo sio kirahisi kwakuwa Wilder hana accuracy nzuri kwenye punch zake na pia Fury is the master of defence.

... Anyway huo ni mtazamo wao, kwangu mimi still naamini Wilder atashinda kwa KO, sio rahisi kutofanya makosa ya defence kwa round zote 12, kosa moja tu dhidi ya Wilder linaweza kufanya upoteze pambano, no matter how u outboxed him

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo paragraph ya mwisho uiondoe mchango wako utakua vizuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom