Manny Pacquiao vs Timothy Bradley

Manny Pacquiao vs Timothy Bradley

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
Haya kwa wale wapenda masumbwi mpambano mkali kati ya pacquia vs bradley ndo karibia unaanza ukumbi ni ule ule mgm grand arena las vegas,nitaleta more updates ruksa pia kuchangia wanjamvi wengine

Updates: Pambano ni WBO welterweight championship rematch baada matcha ya kwanza ya mwaka 2012 pambano lambalo bradley alishinda na team pacquiao kutokubali matokeo na kusema bbradley kapewa ushindi wa mezani so lets get live to the unfinished businness.

images


ug2u.jpg
 
Round 1 : mpambano umeanza kwa spidi sana wote walikuwa na game ya kuviziana kama spidi itakuwa hivi round zote bila shaka tutapata kuona match kali sana.

Round 2: bradley kapelekeshewa makonde ya usoni ya fasta fasta na bila ya kutegemea kamba alikuwa anaangushwa bila shaka mnny kachukua pointi kwenye round hii

round 3: hii imekuwa 50 50 kwa wote

round 4.:haina ubishi round hii bradley kachukua pointi za kutosha ingawaje anapigana kwa hasira alkini manny ameshindwa kuzuia makonde ya haja aliyokuwa anayatoa bradley
 
Round 1 : mpambano umeanza kwa spidi sana wote walikuwa na game ya kuviziana kama spidi itakuwa hivi round zote bila shaka tutapata kuona match kali sana.

Kwa maoni yako nani kazidiwa hiyo round ya kwanza?
 
Kwa maoni yako nani kazidiwa hiyo round ya kwanza?

bardaley kapigwa kwenye round ya kwanza na ya pili laini pointi zote alizopoteza hapo kaja kuzirudisha kwenye round ya nne manny inabidi awe makini sana la sivyo pambano anaenda kulipoteza hili mbele ya mashabiki 70k
 
Round 5:ulikuwa mchezo wa kuviziana lakini manny hajawa makini anashindwa kukwepa wala kupunch ngumi za bradley kibaya zaidi bradley kaanza dharau za mayweather anakuwa ankwepa tu alafu anapigana mikono anaweka chini uso anauacha mtupu
 
round 6:bradley anazidi kuonyesha ujeuri wake tu wa kukwepa nguumikwa dharauu za manny
 
round 7 :what a round bradley namuona kwa mmbaali kaanza kuchoka na ameanza kulegea ila bado ana akili ya kupigana so far manny kafanya vizuri round hii ila bradley ana uwezo mkubwa wa kukwepa
 
round 8 : brsdley anazidi kuonyesha kuchoka kwenye round hiii anachotegemea hasa ni urushaji wake wa ngumi nzito na uwezo wake mkubwa wa kukwepa so far naona ngoma ni 50 kwa 50 yeyote anaweza kushinda hii match
 
round 9 : haina ubishi round hii manny kashinda brradley anazidi kuonyesha kuchoka na manny anashambulia kwa speed sana hasa akishamuweka kwenye kamba
 
Round 10: bradley namuona anashangiliwa kwa nguvu na wamarekani wenzake lakini anawalet down bado anaonyesha kuchoka na kuzidiwa uzuri wa manny ni uwezo wake wa ngumi za haraka haraka anapokuweka katika angle
 
Round 11 : this time bradley laacha dharau na kacheza vizuri sana kachukua pointi kwenye round hii bila shaka round hii imemerusdisha mchezoni haya round ya kuamua nani bingwa sasa inafuata
 
Round 12 ! Mpambano meisha naweza nikasema round hii ndo ilikuwa best coz kila mtu alikuwa hataki kuruhusu ngumi usoni at the same time anataka kushambulia so its like walikuwa wanahifadhi nguvu zao kwenye round hii kwa sasa tunasubiri matokeo yatangazwe tu
 
Manny pacquiao kashinda match kwa unnimaous decision kama ambavyo bradley alishinda kwa mara ya kwanza na bradley anaonekana kutokukubali matokeo
 
Asante kwa kutufahamisha kuhusu pambano hilo.
Naisubiri Man Paq. Vs mayweather.

Hii itakua kalii zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom