Nilipo iona hiyo picha nimekumbuka stori moja ivi. eti bibi alikuwa anamsimulia hadithi mjuu wake.
Bibi akaanza hadithi eti hapo zamani za kale alikuwepo sungura na fisi.
Kabla hajaendelea mjukuu akamwambia bibi yake hiyo adithi achana nayo. niadithie hadithi nyingine kwamaana hiyo hadithi najua sungura atamzidi ujanja fisi.