Mabula: Meya wa Jiji la Dar hana kazi ya kufanya!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,376
24,928
Mabula ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Hot Mix kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa, saa moja jioni.

"Meya kweli ametoka upinzani ila kuwa Meya wa jiji la Dar es salaam siyo kazi kubwa kwa sababu hata vyanzo vyake vya kukusanya mapato sii vingi hapa atakusanya zaidi kwenye 'packing' ya magari (ushuru wa maegesho)".

Mabula ameongeza kuwa cheo cha umeyawa Dar es salaam kimekaa kisiasa ndiyo maana hata alivyokuwepo Dkt. Didas Masaburi kazi yake ilikuwa ni kushiriki kwenye shughuli za kitaifa na kwenda kupokea wageni uwanja wa ndege wanaokuja kufanya ziara hapa nchini."Kwa Dar es salaam, kila kitu kiko chini ya manispaa, jiji halimiliki kitu, halimiliki shule, wala barabara na hata vyanzo vyote vya mapato vinamilikiwa na manispaa tatu ambazo ni Temeke, Ilala na Kinondoni,

Meya wa jiji hana kauli yoyote kwa rasilimali karibu zote za maendeleo"Mabula ambaye alikuwa Meya wa Jiji la Mwanza kabla ya kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo hilo amesema katika kipindi chake akiwa Meya,aliweza kutumia vizuri fedha za maendeleokujenga barabara kutoka Mkuyuni kwenda Butimba kilomita 18 pamoja na kujenga tanki kubwa la maji eneo la Kishiri ambalo linahifadhi maji zaidi ya lita laki mbili pamoja kuelekeza fedha za serikali miradi mingine.

Aidha mbunge Mabula ambaye yupo katika Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ameeleza kusikitishwa kwake kwa baadhi ya kamati kuanza kukumbwa na kashfa za rushwa na kupelekea baadhi ya wabunge kujiuzulu na kusema kuwa hali hiyo haioneshi picha nzuri katika kuwatumikia wananchi.
uploadfromtaptalk1458840726669.jpg

Chanzo: Eatv
 
Mabula ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Hot Mix kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa, saa moja jioni."Meya kweli ametoka upinzani ila kuwa Meya wa jiji la Dar es salaam siyo kazi kubwa kwa sababu hata vyanzo vyake vya kukusanya mapato sii vingi hapa atakusanya zaidi kwenye 'packing' ya magari (ushuru wa maegesho)".Mabula ameongeza kuwa cheo cha umeyawa Dar es salaam kimekaa kisiasa ndiyo maana hata alivyokuwepo Dkt. Didas Masaburi kazi yake ilikuwa ni kushiriki kwenye shughuli za kitaifa na kwenda kupokea wageni uwanja wa ndege wanaokuja kufanya ziara hapa nchini."Kwa Dar es salaam, kila kitu kiko chini ya manispaa, jiji halimiliki kitu, halimiliki shule, wala barabara na hata vyanzo vyote vya mapato vinamilikiwa na manispaa tatu ambazo ni Temeke, Ilala na Kinondoni, Meya wa jiji hana kauli yoyote kwa rasilimali karibu zote za maendeleo"Mabula ambaye alikuwa Meya wa Jiji la Mwanza kabla ya kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo hilo amesema katika kipindi chake akiwa Meya,aliweza kutumia vizuri fedha za maendeleokujenga barabara kutoka Mkuyuni kwenda Butimba kilomita 18 pamoja na kujenga tanki kubwa la maji eneo la Kishiri ambalo linahifadhi maji zaidi ya lita laki mbili pamoja kuelekeza fedha za serikali miradi mingine.Aidha mbunge Mabula ambaye yupo katika Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ameeleza kusikitishwa kwake kwa baadhi ya kamati kuanza kukumbwa na kashfa za rushwa na kupelekea baadhi ya wabunge kujiuzulu na kusema kuwa hali hiyo haioneshi picha nzuri katika kuwatumikia wananchi.

View attachment 332354

Chanzo: Eatv
Sungura alirukia lakini hakufikia mwishowe akasema sizitaki mbichi hizi.
 
Kingelikuwa cheo cha kawaida au kisiasa ccm mngeenda kutafuta kila njia ya kukinyakuwa?? Kweli, sungura akishindwa kuzikuta zabibu, hata meno yake hufaga ganzi kwa sababu ya kuziwaza zilivyo mbichi.
Mwambie hata hivyo UKAWA vidume. Ukiishika Darisalama umeshika Tanganyika. Hilo halikwepeki.
 
Huu ujinga mbona mnaurudiarudia mara kwa mara kwa njia tofautitofauti lakini maudhui ni yale yale!? Kama Meya hana thamani hiyo anayosema huyo mabula kwa nini mlitaka kuuvuruga uchaguzi wa meya wa Dar? Vyanzo vya mapato si huwa vinatafutwa?
 
Meya wa Jiji la Mwanza kabla ya kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo hilo amesema katika kipindi chake akiwa Meya,aliweza kutumia vizuri fedha za maendeleokujenga barabara kutoka Mkuyuni kwenda Butimba kilomita 18

Chanzo: Eatv
Huyu Mabula ni buree kabisa hiyo barabara anayosema hata km5 haifiki yeye anasema km 18.
 
Mabula ameyasema hayo alipokuwa akizungumza katika mahojiano na kipindi cha Hot Mix kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa, saa moja jioni."Meya kweli ametoka upinzani ila kuwa Meya wa jiji la Dar es salaam siyo kazi kubwa kwa sababu hata vyanzo vyake vya kukusanya mapato sii vingi hapa atakusanya zaidi kwenye 'packing' ya magari (ushuru wa maegesho)".Mabula ameongeza kuwa cheo cha umeyawa Dar es salaam kimekaa kisiasa ndiyo maana hata alivyokuwepo Dkt. Didas Masaburi kazi yake ilikuwa ni kushiriki kwenye shughuli za kitaifa na kwenda kupokea wageni uwanja wa ndege wanaokuja kufanya ziara hapa nchini."Kwa Dar es salaam, kila kitu kiko chini ya manispaa, jiji halimiliki kitu, halimiliki shule, wala barabara na hata vyanzo vyote vya mapato vinamilikiwa na manispaa tatu ambazo ni Temeke, Ilala na Kinondoni, Meya wa jiji hana kauli yoyote kwa rasilimali karibu zote za maendeleo"Mabula ambaye alikuwa Meya wa Jiji la Mwanza kabla ya kuchaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo hilo amesema katika kipindi chake akiwa Meya,aliweza kutumia vizuri fedha za maendeleokujenga barabara kutoka Mkuyuni kwenda Butimba kilomita 18 pamoja na kujenga tanki kubwa la maji eneo la Kishiri ambalo linahifadhi maji zaidi ya lita laki mbili pamoja kuelekeza fedha za serikali miradi mingine.Aidha mbunge Mabula ambaye yupo katika Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) ameeleza kusikitishwa kwake kwa baadhi ya kamati kuanza kukumbwa na kashfa za rushwa na kupelekea baadhi ya wabunge kujiuzulu na kusema kuwa hali hiyo haioneshi picha nzuri katika kuwatumikia wananchi.

View attachment 332354

Chanzo: Eatv
Masahihisho - Mabula hakuchaguliwa na wananchi wa Mwanza kuwa mbunge wao , alipora ushindi wa wenje chini ya usimamizi wa tume , na ndio maana tuko mahakama kuu .
 
HAKIKA NI FEDHEA KUBWA KWA KIONGOZI KUTOKUJUWA JAMBO LA WAZI KAMA HILI AIBUUU #$%& MNO!/ MADIWANI NA MAYOR NDIO HUPANGA KILA KITU NDANI YA JIJI KUANZIA TARATIBU ZA UKUSANYAJI MAPATO MPAKA MATUMIZI/
I DONT UNDERSTAND THAT MAN!......
 
Back
Top Bottom