Hivi hicho kikundi, kati yao nani hajui habari ya eksitended family kiasi cha kubeza watu kukaa kwa mashemeji, mjomba, bamdogo, kaka, dada, mamkubwa, binamu, bibi, ndugu, mwanachama, mate, n.k?
Ingekuwa Vizuri kama ungetoa ushahidi wa kutosha katika suala la Manji hakusaidia ktk matibabu ktk vigezo aliombwa au hakuhusika kabisa. Manji ni m2 kama mtu mwingine hivyo acha kumchanganya na siasa maana kumsaidia mtu hata wewe unaweza kumsaidia.
Minawashangaa wanavo ponda extended family wakati nawao wametokea umoumo wamshukulu mengi. kuna mmoja alikuwa anakaa na dada yake pale!
Jiwe limekupata au kuna mtu unamtetea...extended family zetu za kitanzania ni kuwahifadhi wavivu tu. Juzi niliona taasisi moja ikitangaza matokeo ya utafiti wao yaliyoonyesha Zanzibar na Dar wanaongoza kwa kuwa na 52% ya watu tegemezi...