Na yeye kwa nini asiondoke nchi hiimfanyabiashara manji yupo katika mikono salama kwa kutuhumiwa kukwepa kodi
Wanampa sifa tu maana kesi atashindamfanyabiashara manji yupo katika mikono salama kwa kutuhumiwa kukwepa kodi
Matatizo ni kutatua si kukimbia.Na yeye kwa nini asiondoke nchi hii
Theory hiyo siyo applicable kila mahali! Atafia jela huyo. Kutatua penye haki, sio hali kama hiiMatatizo ni kutatua si kukimbia.
Kiongozi upo Ni PM Kuna jambo la msingi mkuu.mfanyabiashara manji yupo katika mikono salama kwa kutuhumiwa kukwepa kodi
Sasa si alipe tu Kodi?. Imeandikwa mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari na Mungu yaliyo yake Mungu.!
!
Manji just get the hell out of this country.... Watakuua hawa jamaa. Ondoka tu mzee. Au omba uraia wa nchi nyingine