anahitajika haraka arudi alipe milioni 700 za mshahara na malimbikizo ya pesa za usajili,miezi minne hawajalipwa mshahara,asidhani anapendwa sana inapendwa hela yake tu
dah ...

Bora umemjibuyupo congo kazima na simu,hapatikani hewani.mtumieni hela kwa airtel money