Manji Kuingiza 3000 Kagoda FC Taifa

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Mfadhili wa Klabu ya soka ya Yanga a.k.a Kagoda FC a.k.a Yebo Yebo jana aliwakilisha hundi ya shilingi milioni 90 kwa ajili ya kuwalipia wanachama 3000 wa Club hiyo ambao wengi wameonekana ni wapenda vya Bure ( But there is no free Lunch) baada ya mamia kumiminika katika Makao makuu ya Klabu hiyo Iliyo katika Makutano ya Mitaa ya Twiga na Jangwani kulipia Kadi zao na wengine kuomba kadi ( Inawezekana hata Mamluki walikuwepo) ili bahati hiyo ya Mtende iwaangukie

Watani zangu Balantanda, Gang Chomba, Mbabe nk Mmebahatika?
 
Upuuzi!
Bado anawapa samaki badala ya kuwafundisha kuvua?
Hivi ajenda yake nini? Simsomi kabisa huyu bepari
 
Upuuzi!
Bado anawapa samaki badala ya kuwafundisha kuvua?
Hivi ajenda yake nini? Simsomi kabisa huyu bepari

Labda anataka Kurambwa Miguu na akina Madega teh teh teh
 
Yaaani huu ni ujinga jazz bendi, hivi wabongo ni lini hizi njaa zetu tutaacha kuzipaka rangi ili zionekana? Huyu jamaa anawafanya Yebo yebo kama wake zake nao wanakubali tu na hata akiwaomba ................. ili waende south kwenye world cup wanachama kibao watatokea, mi inanikera mno jamani ningekuwa na uwezo ningewakata viboko kumi kumi vya nguvu hao wote walikubali kuchukua au kulipia kadi kisa wapate ofa.Daaaaaa inaniuma sana kwa huyu gabachori kuwafanya watanzania kama mfala **** hivi. Aghaaaaaaaaaaa.
 
Tunajua viroho vinauma waacheni nao angalau waambulie hivyo hivyo viduchu.
 
Mie sijaona ubaya wowte maana ameamua kwapoa ofa wanachama wenzake, hivyo basi vibopa wengine nao waige mfano wa Manji maana wendi wanatamani kuona huu mchezo wa kihistoria hapa kwetu haijawai kutokea hadi jirani zetu wanakuja kuangalia, Manji amependa kuwapa raha watanzania wengine hivyo basi yeye ameonyesha njia wengine nao waige.
 
'che che chee'
tunapenda dezo dezoo,
maisha yetu dezo dezoo,
we mwanangu wee, yatatushindaa'!
 
hakuna cha bure katika dunia ya Kibebari, hakuna, Manji anatumia pesa yoote hiyo kuja kupandikiza watu wake, maana madega anaondoka, ni aina ya Rushwa ama Takrima akitegemea kupata jambo, nothing for free, Quid pro quo
 
Usipotaka kuliwa kidogo hulii..sasa nyie mnataka kula tu bila kuliwaaa!!.......haiwezekani
 
Mfadhili wa Klabu ya soka ya Yanga a.k.a Kagoda FC a.k.a Yebo Yebo jana aliwakilisha hundi ya shilingi milioni 90 kwa ajili ya kuwalipia wanachama 3000 wa Club hiyo ambao wengi wameonekana ni wapenda vya Bure ( But there is no free Lunch) baada ya mamia kumiminika katika Makao makuu ya Klabu hiyo Iliyo katika Makutano ya Mitaa ya Twiga na Jangwani kulipia Kadi zao na wengine kuomba kadi ( Inawezekana hata Mamluki walikuwepo) ili bahati hiyo ya Mtende iwaangukie

Watani zangu Balantanda, Gang Chomba, Mbabe nk Mmebahatika?

No free lunch!!!!

Watanzania tumezoeshwa vya bure mno. Hata bajeti ya serikali inategemea vya bure, itakuwa bajeti ya mlalahoi?
 
Kama anatoa milioni 90 kwa Yanga je CCM anatoa ngapi huyu jamaa ni kama Don wa kwenye novel ya Mario Puzzo The Godfather ni Untouchable hapa bongo kama alivyo swahiba wake Rost tamu aka Kagoda
 
Back
Top Bottom