Manji kamilikishwa Fuko za COCO BEACH kinyemela

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Halmashauri ya jiji la Dsm imekithiri kwa Ufisadi kiasi ambacho wamemmilikisha Yusufu Manji Ufukwe wa Coco Beach kuanzia Police mess mpaka karibu na American Club. Document iliyopo ya mkata feki wa kumilikishwa Manji ina Sahihi ya Naibu meya Ndg Bujugo. Huu ni Ufisadi uliokithiri kwa manispaa ya jiji na tunahitaji wabunge wa mkoa wa dsm wasimamie auditing ya mikataba yote ya jiji na matapeli kama akina manji. Jamaa ananunua property kwa bei ndogo na kuzipangisha kwa bei kubwa at wananchi expense. Hivi tutavumilia ufisadi huu mpaka lini. mama Tiba hebu fuatilia maswala ya ardhi ya umma kubinafsishwa. Pale Africana kuna Botanical garden ya public pia ameuziwa huyu Manji . Tunahitaji mchukue hatua haraka iwezekanavyo.

Weka data hapa maana maeneo yale ya fukwe waliopewa na kujenga hotel ni sea cliff-karume family,golden tulip-mwinyi family na police officers mess pekee

ulitemea nini?
mtu kawapa pesa madiwani woote za uchaguzi
sasa ajilipe vipi?????/
na bado atapewa kila kitu mpaka wake za hao madiwani watakwenda kumfanyia massage pia

ulitemea nini?

mtu kawapa pesa madiwani woote za uchaguzi

sasa ajilipe vipi?????/

na bado atapewa kila kitu mpaka wake za hao madiwani watakwenda kumfanyia massage pia

dr lwaitama alisema sasa kuna kazi ya kudai UHURU kwa mara ya pili,,,,,,,naamin uyasemayo,,,,,,tunahitaj kutafuta uhuru mwingine tena

kila mwenye biashara pale coco beach anamlipa Joseph Manji kodi. Huu mkataba upo na soon or later nitauweka hapa kama attachment. Hii ni kweli kabisa

Back
Top Bottom