Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,667
- 29,958
hatimaye mwenyekiti wa yanga afanikiwa kuingia ofisi za FIFA kukata rufaa kuhusiana na suala la emmanuel okwi. manji alionekana akiwa amechoka mwenye mawazo na hasira alionekana akiwa anataka kuvuka barabara kuelekea zilipo ofisi za FIFA. kama anavyoonekana pichani.
View attachment 184170
Manji dawa ni Mr Mengi hapo afurukuti.