mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 704
- 1,542
- Thread starter
- #21
Moo arena hapo alipaswa ailipe Simba Kwa kutangaza jina lakeMimi suala la uwanja wa mazoezi wa Simba kuuita jina lake hapo ndo aliponiacha hoi
Moo arena hapo alipaswa ailipe Simba Kwa kutangaza jina lakeMimi suala la uwanja wa mazoezi wa Simba kuuita jina lake hapo ndo aliponiacha hoi
Moo hajatoa pesa yoyote Bure Kwa Simba. Pesa za moo Huwa Either ameikopesha Simba au amelipia matangazo ya kampuni zake kupitia Brand ya Simba.,Lipeni pesa zake alizotoa
DahMkishashiba zenu makande mnakuja kujamba humu jf sports
Baadhi ya wanaJF sijui akili zenu ziko wapi ama uwezo wa kufikiri sijui ni mdogo!Wapi nimesema manji alikuwa mmiliki wa Yanga?
Toka lini Kitimoto akawa na akiliBaadhi ya wanaJF sijui akili zenu ziko wapi ama uwezo wa kufikiri sijui ni mdogo!
Imebidi nikuangalie ni member wa jf tokea lini kumbe 2023
Moo arena hapo alipaswa ailipe Simba Kwa kutangaza jina lake
Bora maandishi yangekuwa na uwiano sawa lakini yaliyopo ni makubwa jinga sijui designer wake ni fundi Michael!!?Mimi suala la kuandika Jina lake kwenye jezi ya Simba ndy ilaniudhi sn.
Jezi imekuwa HAZIVALIKI..
Timu yako na nani? Unamiliki nini kwenye timu au umechangia nini kwenye timu. Mwenzako ana mkataba kaininua wewe una nini?Wakuu sitaki hata salamu, Kwa Hali ya mambo ilipofikia ni wazi kuwa ili Simba isonge mbele ni lazima maamuzi magumu yafanyike.
Uamuzi wa kwanza ni mwekezaji wetu Mohamed Dewji anapaswa kukaa pembeni na aendelee tu kuwa mshabiki/mdhamini
Tunao mfano hai Kwa hawa ndugu zetu utopolo, Manji aliondoka na timu ikapitia msukosuko kidogo tu ila wamejitokeza wawekezaji ambao wanamwaga pesa zaidi ya Manji na Yanga imepiga hatua kubwa kuliko wakati wa Manji.
Sisi Simba tunaogooa nini?
Simba ni brand kubwa barani Afrika.
Hivi tutaendelea kumlamba miguu huyu kanjibai paka lini?
Yaani Kumbe hata ahadi anazotoa Kwa wachezaji wajitume maradufu kwenye zile mechi ngumu Kumbe hatimizi
Wakati ni Sasa tupige kelele za nguvu Moo atuachie timu yetu..
View attachment 2615753
Aondoki kamwe labda Simba ishuke daraja ndio ataondokakwa simba ya leo ilipofikia Mo aondoke ata kesho wapo matajiri kibao Barani africa wataigombania kama njugu
Timu Ni ya wanainchi,,kwani Hao wanaomiliki Simba wao mamlaka ya umiliki wamepewa na nani,,Timu yako na nani? Unamiliki nini kwenye timu au umechangia nini kwenye timu. Mwenzako ana mkataba kaininua wewe una nini?
Sisi ni kaka zenu hatuwezi kuona mnanyanyasika lazima tuwaokoe kutoka kwenye mikono ya mnyonyaji KanjibaiCha kushangaza wautopolo ndo wamekazana na Moo
Kabisa halafu ameweka maandishi Kati Kati ya matako,,Bora maandishi yangekuwa na uwiano sawa lakini yaliyopo ni makubwa jinga sijui designer wake ni fundi Michael!!?
Pole sana Kolo mwenzanguBora maandishi yangekuwa na uwiano sawa lakini yaliyopo ni makubwa jinga sijui designer wake ni fundi Michael!!?