Manispaa zetu zimeshindwa kazi?


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,480
Likes
132,251
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,480 132,251 280
Kila unapopita kwenye barabara za mitaa ya Dar ni kero ya magari yaliyopaki Sehemu ambazo kimsingi ni eneo la barabara .Sehemu zilizoathirika zaidi ni mabibo NIT Rd kariakoo ilala Tabata buguruni Temeke na kwingineko
Manispaa hazina ubavu wa kuliondoa hili au ni udhaifu wa Mkuu wa mkoa na watendaji wale?
Tujadili
 
M

mititi

Member
Joined
May 16, 2013
Messages
51
Likes
0
Points
13
M

mititi

Member
Joined May 16, 2013
51 0 13
Jenga tabia ya kujenga hoja kwa kutoa ushauri ambao utaleta suruhisho badala ya kuwa na tabia ya kulalamika
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
107,480
Likes
132,251
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
107,480 132,251 280
Jenga tabia ya kujenga hoja kwa kutoa ushauri ambao utaleta suruhisho badala ya kuwa na tabia ya kulalamika
Sawa Mkuu naomba tujadili sasa kama umenielewa
 

Forum statistics

Threads 1,273,817
Members 490,485
Posts 30,492,954