Kilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Hilo jengo na barbershop viko wapi?,vikoje?,au huu uzi wachangie wanaotokea Moshi mjini tu wanaoijua Stendi na jengo la uchumi!??,jamii forums sijui imekuaje, mpaka ID kongwe zinaanzisha thread kimazoea.Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Mimi ni gen z hivyo nipotezee bwasheeHilo jengo na barbershop viko wapi?,vijoke?,au huu uzi wachangie wanaotokea Moshi mjini tu wanaoijua Stendi na jengo la uchumi!??,jamii forums sijui imekuaje, mpaka ID kongwe zinaanzisha thread kimazoea.
Jengo la kimkakati mtu ananyoa vipi kwa 3000 mpaka 5000?
Jengo la kimkakati mtu ananyoa vipi kwa 3000 mpaka 5000?
Iwe bei gani mzee mbona unaulizwa swali juu ya swali?
Nenda jumanne utanishukuru baadae.Wacha kesho niende memorial nikapiganishe.
Wachagga wengi wapo Arusha kuliko Moshi na Arusha wamewekeza sana.manispaa ifanyejeKilimanjaro mpaka sasa ilipaswa kuwa jiji🤔
Huu mji umedumazwa na serikali kwa miaka nenda rudi🤔
Sasa hiyo ni stendi gani? Jengo la uchumi hapo stendi wafanya biashara ,wanafanya mpaka baba shop , mtu ananyoa 3000tsh ? Nyie mna akili kweli?
Wauza maduka ya simu hapo kwenye ghorofa yenu uchwara hakuna anaelipa milioni kwa mwezi kama kodi 🤔 ebu jitafakarini asee
Moshi mjini panazidiwaje kwa viwango na migombani asee?
Moshi ilijengwa kwa zao la Kahawa, Mkapa alipokwapuwa mabilioni ya mauzo ya Kahawa nje akajengea Barabara ya kwenda kwao , kilimo cha Kahawa kikayeyuka na ukuwaji wa mji wa Moshi ukadumaa.